Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo maalum wakafundishe na wale wa sanaa ambao hawatapata nafasi sekondari watafundisha shule...
jana niliambiwa selections zimetoka lakini nikajaribu sikubahatika hata kuona student not found..mara nikasikia link imefungwa...mara tcu wame'deactivate tovuti yao..lakini hapa jukwaani naona...
Habari wakuu! kama mnavyoona katika tittle yangu kuwa nimekosa awamu ya kwanza ya machaguo ya vyuo ambavyo ninavyohitaji.
Ila kwa sasa najipanga kuapply kwa awamu ya pili lakin sijui...
Mambo muhimu yanayochangia mtoto kupata elimu, yaani :
(1) ajue kusoma na kuandika,
(2) hisabati msingi
(3) elimu ya maarifa mbalimbali kwa maisha ya umri wake.
Yafuatayo yachukuliwe kuwa ni...
Pole sana ndugu na jamaa mnaoteseka katika nchi yenu. Maumivu yenu ni maumivu yangu pia, Najua mlikuwa na malengo mazito ila binadamu sio wa kuamini hata kidogo. Nimeshuhudia mkijaribu kutafuta pa...
First selection nacte Kuna ndugu yangu kwenye profile yake Kuna chuo kachaguliwa certificate ya ualimu primary chuo kimoja kipo morogoro, baada ya Muda kapigiwa simu na chuo kingine kutoka dar...
Habar wakuu..
TCU mbona inazingua sana kufunguka na nyie wenzangu ni hivo? Au kuna link special ya kuingilia? Kama IPO ntumien wadau maana hapa ful pressure
habari wakuu!kama mnavyoona katika tittle yangu kuwa ninekosa awamu ya kwanza ya machaguo ya vyuo ambavyo ninavyohitaji.ila kwa sasa najipanga kuapply kwa awamu ya pili lakin sijui kitu gani...
..Nimekua nikifuatilia kwa mda malalamiko na hofu za hawa ndugu zetu walioapply vyuo mwaka huu....nikupeni moyo tuu MTACHAGULIWA NA CHUO MTAENDA..inshaalaah nakukumbukeni hata kwenye DUA zangu...
Nasoma katk shule y sekondari kigurunyembe mkoan morogoro kidato cha tano combnatn y CBG..Natafuta hostel iliyo karibu na maeneo yale au hta km nikiwa n panda gari moja kila sku n vema pia..Kwa...
Inawahusu wenye coz ya education kwenye degree zao.
Nimekua nikijiuliza kama kuna tofauti ya mishahara kwa waajiriwa kutokana na vyuo walivyosoma labda Udom, saut,Mkwawa,Udsm,Sua,Mzumbe,n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.