Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mliochagua Kampala university Majina yametoka.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wakuu profile langu la TCU halifunguki adi sasa sijajua Kama nimechaguliwa au laaa nisaidieni asanteni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wadau wa jamii forum!!leo nimeingia asubuhi tcu nikaambiwa nichague round ya pili nikachagua tatu kozi lakin mida nimetoka internet cafe wanzingua inakataa kabisa lakin kuna baadhi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi inawezekana apply nacte na tcu kwa pamoja????
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepitia kwenye Web ya TCU hasa kwenye kuomba udahili upande wa diploma ambako watu wa nacte wanahusika. Huko nimeona chuo hicho kimeorodheshwa. Vipi kinarudi tena? Kama Nacte wamekiweka chuo...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Haina haja ya kukaa na pressure tumtangulize mungu atusimamie katika selection zitakazotolewa soon hakika sisi ni watoto wake hivo tumuangukie yeye ili basi kweny kila la ubaya liwe la uzuri in...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilikua nauliza kuhusu kozi ya Petroleum Geology, inahusikaa na nini pia ajira zake, Na je kozi hii inafungamana na Petroleum Engineering?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani naomba kifahamishwa kuhusu tuliokosa awamu ya kwanza tukiomba second round majibu huwa yanatoka mda gani,!!!!??? Na je tutaripoti chuo na waliopata first round,?????
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mimi nina swali.......,, hivi aliye reseat kidato cha sita na akafaulu vizuri kuingia University huwa Ana chaguliwa kwa course mojawapo Alizoomba kulingana na cut off points zake au...
2 Reactions
1 Replies
698 Views
Habari wadau! Kama kichwa cha habari kilivy, naomba kujua au kupata mawasiliano yake maana kunandugu yangu amechaguliwa hapo. ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, una wazo ambalo linaweza kuboresha muundo wa elimu na inavyotolewa hivyo kuleta athari chanya kwa jamii yako na nchi yako kwa ujumla? Toa mchango wako.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarin wana Jf, Nimesikia eti mtu huwezi kutransfer chuo kwenda kingne kwa faculty tofauti. Mfano; Kutoka musoma utalii college koz ICT kwenda chato health science and technology. Na kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu vip kama wameruhusu kuanzia tar 12 watu waapply tena vip mbona selection bado?? au kama kuna wa diploma aliyekwisha ona amechaguliwa tujulishane wadau, kwenye profile naona wameniandikia...
0 Reactions
4 Replies
941 Views
Mwenye TAARIFA zozote za TCU mpaka sasa tu naomba atujuze ...! maana naona hawa wakuu wamepiga kimya na siku waliyoahidi ndo hii inaenda kuisha Mwenye lolote Tafadhali [emoji288] [emoji289]...
5 Reactions
107 Replies
10K Views
Kwa wale tuliochaguliwa kozi za Medical lab/C.medicine ngazi ya certificate Pita hapa tujuzane mambo mbalimbali kabla ya kuanza masomo, wadau wa kawaida mnaruhusiwa kuchangia.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
[emoji117]Http://goo.gl/GTNCGM
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Tuliapply mwezi wa tano through nacte tukaambiwa selection mwezi wa saba ikawa hola Wakatubadilishia gia angani kutoka Gpa ya 2.7 tuliyoambiwa mwezi wa tano hadi 3.5 ambayo ni ngumu sana kuipata...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hongereni kwa wale mliobahatika kuwa selected na poleni ambao hamjawa selected. Kwa wale ambao mpo selected mshukuru kwa hiyo nafasi mliyopata na uwe tayari kwa faculty yoyote utakayoteuliwa kwani...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi nilimaliza diploma ya public sector accounting tia nikapata gpa ya 3.4. Mpaka sasa sijui nifanye nini wakuu naona kama ndio mwisho wa shule. Naombeni mawazo mapya nini chakufanya,
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom