Ndugu zangu ngoja nitoe Msaaada kidogo maaana naona watu wanalalamika sana na hii yote ni sababu ya kutokujua michakato gani inatumika kudahili wanafunzi vyuo mbali mbali
Somo kwa waombaji wa...
Mambo muhimu yanayochangia mtoto kupata elimu, yaani :
(1) ajue kusoma na kuandika,
(2) hisabati msingi
(3) elimu ya maarifa mbalimbali kwa maisha ya umri wake.
Yafuatayo yachukuliwe kuwa ni...
Za asuhuhiii,
Nimekua nimesikia mijadala mingi humu jukwaani kuhusu hiyo lugha ya malkia,
sasa nilikua naomba ufafanuzi, je kwa wale wa sanyansi hii lugha ni shida je kinaweza kua chazo cha...
The Eni Award annually honors the best research projects in the field of energy and sustainability and is addressed to scientists and researchers from around the world.
Prizes include:
- The...
Salaam,
Nikiwa kama mdau wa elimu naipongeza sana Serikali hususani TAMISEMI kwa kuja na huu mpangi ambao kwa maoni yangu ukitumika vizuri utasolve matatizo makuu mawili. Kwanza utasolve tatizo la...
Nauliza kama kuna uwezekano wa kuhama faculty unapokua tayar selected kwenye chuo fulani kama unavigezo vya Hiyo faculty nyingine....sanasana kwa kwa chuo cha SUA
Nilikuwa nataka nichukue kozi ya mass communication tatizo wamenambia natakiwa niwe na credict ya English sasa mim nina D, je nahesakabika kuwa nina credit au vip??
Msaada tafadhali
NI Kwa dhahili kabisa Bodi ya vyuo Tanzania ni jipu, Kwa hizi siku za karibuni TCU wamethibitisha hawapo serious na majukumu yao.
Ikiwa kwa kupitia Website yao wenyewe walihakikishia umma kuwa...
Huu wimbo wa ajira imekuwa gumzo sana hasa pale tunapopata tetesi tofautitofauti na Leo tena nmepata tetesi kwamba wanaopata ajira ni sayansi na wale waliosoma shahada ya science ambayo so...
Jana nimeApply Second selection course nne lakini baadae nikaja nikafuta zote ili nianze mwanzo lakini nashindwa kuAdd programmes coz ile sehem ya kuDisplay programmes ipo empty lakini naletewa...
Shikamoni wakuu, natumaini asubuh hii mko vizuri kabisa aseeh samahani sana anaefaham hicho chuo hapo juu ni lini hasa wanaanza mwaka mpya wa masomo pia namna ya kupata joining instruction form...
Nianze kwa kuwapongeza kwa kufaulu vizuri, HONGERENI.
Napenda niwape angalizo ndugu zangu, ikitokea umekosa selection for the first round tafadhali usikurupuke kujaza ilimradi chuo chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.