kwa yeyte anaekifaham hicho chuo naomba anipe maelekezo location na mazingira kwa ujummla na pia kama kuna mtu anamajina ya wanafunzi waliochaguliwa hapo naomba attachment hapa yyt iwe pdf,docs...
Ndugu zangu Msaaada kidogo nina rafiki yangu naye kapigwa Chini first round. Na ivyo apo juu ndo alivyojaza saivi mnaonaje wadau yupo kweny risk ya kukosa tena
Kama kakosea sehemu tuelekezane...
wakubwa Shikamoo
wadogo habari za jioni
nimeapplay diploma in pharmaceutical na nyingine ya laboratory HAPO KIU matokeo yangu ni
MATH.C PHYS.C CHEM.B BIOS.B+
je nitapata kweli na vp Kuhusu...
kuna dogo anasema aliapply kwa kufuata hatua zote kama zilivyoainishwa kwenye Guide book. Cha ajabu majibu yanatoka yanasema hajaaply first round wala kuchaguliwa provisionally. Na alidownload ile...
kwa kuanza ni vyema tukaanza kujua Prof Shaban mlacha ni nani?
Shabani Mlacha ni makamu mkuu wa chuo kikuu dodoma upande wa mipango, fedha na utawala, yeye ni msomi wa taaluma ya kiswahili ambaye...
Wakuu nacte wameshatoa post kwa wale wa second round hebu chek profile zenu me nimetumiwa sms from nacte nimeambiwa nicomfirm nimechaguliwa C.O pale KS ROYAL MBEYA
WanaJamiiForums kwa wale waliokosa vyuo sasa inakuaje maaana vimebaki vyuo vya private vingi na vyuo vipi ni vizuri ku apply Kuna ndugu yangu aliomba law udom udsm na mzumbe kakosa sasa vyuo gani...
TCU wamesema watafungua tar 12 ad tar 23 lakini hadi Leo diploma hawajaona matokeo yao...second round imeanza..
TCU inamaana hawawaoni diploma kwanza no equality MUHAS diploma nafas 4 Kat ya...
RASIFA TANZANIA BLOG inapenda kutoa ushauri kwa applicants ambao wamekosa round ya kwanza katika selection za vyuo vikuu kwa mwaka 2016/2017.Jambo kubwa ambalo limefanya walio wengi kukosa...
Jaman kwa anayefahamu kilipo chuo hichi hapa DSM naomba anielekeze sababu nina shida ya kutaka kufka hapo nkachukue admission letter plz plz naombeni msaada kwa hlo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.