Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kufahamu tofauti kati ya university na college kwa anayefahamu......!
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari wana javi naomba msaada kuhusiana na koz tatwa hapo juu tuliomba diploma lakini tunakuja kukuta certificate hatujui sasa msaada jaman ni sawa au hii isije kuwa ni ile ya english mediums...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali kupitia Wizara Ya elimu ilibadili viwango vya kujiunga na elimu ya juu kwa Advanced level kutoka minimum point 2 hadi 4, na kwa diploma kutoka GPA ya 2.7 hadi 3.5 ,na sasa imebadili tena...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wakuu. Naomba maelezo kuhusu course ya bachelor of science in management information system. inahusiana na kitu gani na kazi zake ni kama zipi... na je soko la ajira kwa course hii...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Habari zenu wakuu. Naomba ufafanuzi juu ya details za course ya BAGES chuoni na pia maelezo kuhusu soko la ajira la course hiyo. Msaada please.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wakuu! Naomba kuuliza hivi kuna watu wameandikiwa vyuo walivyochaguliwa kwa Degree maana mostly naona tumeandikiwa selected but Chuo hakijaainiahwa wakati huo huo inasemekana kuna watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie nimeandikiwa status pending maana yake nini .Nimeenda chuo leo ila wameniambia awajapokea jina langu
0 Reactions
16 Replies
9K Views
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imetoa ufafanuzi juu ya taarifa za kutoka kwa matokeo ya waombaji wa nafasi za kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini, kwa mwaka wa masomo 2016/2017 Kwa siku tatu...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna tangazo nimeliona kuwa min.entry kwa watu wa diploma kwenda degree zimeshushwa kutoka GPA ya 3.5 mpaka 3.0. Je kuna ukweli wowote juu ya hili,kwa yeyote mwenye taarifa rasmi atuthibitishie humu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Oya jamani naomba niulize hv hayo ma namba kwenye profile ya vyuo ulivyochagua niya nn
1 Reactions
2 Replies
811 Views
naomba kuuliza fine arts ina maana gani kozi nataka niadd kozi ya utalii ila yenyew inataka hiatory,engliah,ftench and kisw/fine art nipe maana yake ndugu zangu haraka
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Masada kuhusu environmental engineering Ardhi ni nzurii
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Huu utaratibu wa kuchagua watu na kuwapa taarifa kuwa wamechaguliwa katika mojawapo ya kozi walizoomba, lakini uthibitisho utatoka kwenye chuo husika HAUFAI! Halafu huyu mtu ikitokea chuo...
15 Reactions
21 Replies
3K Views
Sintofahamu nyingi zinajitokeza na bado zinaendelea kutokea kutokana na hii taasisi inayosimamia elimu ya juu kukosa umakini na kuwajibika ipasavyo kwa makusudi au kwa sababu nyingine wanazozijua...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Miaka ya nyuma kabla ya mwaka 2016 ,kozi zote za ualimu zilipewa kipaumbele. Lakini kwa mwaka huu wa masomo 2016/2017 Serikali imefuta kipaumbele cha mikopo kwa masomo ya ualimu wa sanaa. Hii ni...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Hbr wakuu yeyote mwenye taarifa juu ya hii pesa ya mafunzo kwa vitendo(Field practical allowance)...ambayo serikali ilisema itatoa kwa awamu mbili lakini awamu ya pili ya pesa hizo haina hata...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Namshukuru mwanangu kuchaguliwa kozi ya kilimo baada ya mahangaiko mengi. Ila jambo moja limenisikitisha mtoto anatakiwa kuripoti 24/09/16 na Ada ya Tshs 1000000 awamu ya kwanza Taarifa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa naomba kuuliza kwa yeyote anayefaham lolote kuhusu faculty hii inayopatikana Tumaini university!!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni baada ya kulipa pesa ya kusajilia mdogo wangu, pesa imekwenda NACTE ila siwezi fanya chochote toka jana. NACTE liangalieni hili pia, kwani wengi watakoswa nafasi ya kufanya usajili kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom