Wakuu hodi humu ndani
Nina omba ushauri kwa yeyote ambaye anataarifa au uzoefu nilimaliza undergraduate mwaka 2013, GPA ni Upper second ya 3.5 kwa mchepuo wa Elimu ikishabihiana na Psychology...
TCU LOGIN-
after login , I get only this message :-"you are provisionally selected...................no university or institution.
should Igo for second round?how ln
wana jf mambo vipi wadau polen na majukumu ivi kati ya food science na mining eng ipi inatoa na hipi ni ngumu katika usomaji hasa kwa chuo kama DIT,kwenda degree coz ipi wanafaulu sana kati ya...
Naishauri serikali kuwapa wanafunzi wa 5 & 6 Special favor
Shule zenye Combi za PCB wapewe vifaa bora vya maabara na chemically za kutosha
Waalimu wa PCB Form 5 & 6 wapewe motisha hali ya juu...
Yani niliomba second round ..sasa nimerudi kucheki kweny profile nikitaka add program mana nimejaza course nne tu nilipotaka ni add ya tano nambiwa ivo..kwenye profile yang!! kwaiyo inamanisha...
Kwa wale waliochaguliw kujiunga katka chuo cha RAO HEALTH TRAINING CENTRE tukutane hapa Kwa ajil ya kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na hicho chuo.. ...Asanten
Naomba niulize wakuu, hivi hiki chuo cha Kampala international university kipo vipi? Kwani tunasikia mengi mpaka tunakiogopa.
Kama kuna mtu ana habari nacho please msaada kipo vipi kwani nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.