Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Naombeni kufahamishwa ,katika masomo saba ukipata B 5 C 1 na A 1 inakua ni sawa na wastani wa B?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali Yakataa Kuongeza fedha za kujikimu kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Wanaopatiwa mikopo Serikali Yakataa Kuongeza fedha za kujikimu kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Wanaopatiwa mikopo |...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wana JF kwa anayejua TCU wanatoa lini rasmi hayo majina naomba anijuze maana kila nikiingia kwenye account yangu haifunguki.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wanajamii nina two ya -10 HKL nimekosa machaguo ya kwanza nimeomba 1..udsm bachelor o arts in tourism' remain capct 88 2..mwalimu nyerere bachelor in history and english,remain capct 127 3..udom...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habar jf Kama kuna mtu anafahamu contact za chuo cha TANESCO kilichopo MasakI DSM atujuze.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu ninaomba msaada kwa yeyote anayejua kama hi programme hapo juu ina soko la ajira
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kumekuwa na tatizo kubwa sana la jinsi ya kuhifadhi vyeti vya taaluma, kuzaliwa na nyaraka nyingine muhimu mfano hati ya nyumba n.k. So kwa wale mnaojua tunaomba elimu ya kina kuhusiana na hili...
1 Reactions
78 Replies
17K Views
Serikali kuwapangia shule walimu wa sayansi Serikali imeanza kupanga walimu wa sayansi moja kwa moja katika shule badala ya Halmashauri kama ilivyokuwa awali ili kuleta uwiano sawa wa walimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye uelewa atusaidie. TCU wameshusha GPA kutoka 3.5 to 3.0 kwa mwenye diploma anayetaka kuingia University kusoma degree. Ni waz kuwa waliokuwa chini ya GPA ya 3.5 kama ilivyotangazwa awali...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
http://www.tcu.go.tz/images/documents/REVISED_ADMISSION_CRITERIA_FOR_DIPLOMA_2016.pdf
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu alimaliza form four mwaka 2015 alipata division four ya 28 kwa masomo haya HISTORY,C ,ENGLISH,D,BIOLOGY,D,KISWAHILI,D,GEOGRAPHY,D,CIVICS,D, B.MATHEMATICS,F, ameapply third around...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Habar. Wakuuu. Kuna kijana wangu alikua amechagulia Diploma ya Nursing.. lakin alikua anataka kusoma Clinical officer. Vip anaweza kufanya transfer kama vile watu wa bachelor wanavyofanyaga...
1 Reactions
4 Replies
799 Views
Wasalaamu wanajukwaa! Hivi karibuni Tanzania Commission for Universities - TCU ilibadilisha kwa kupanga upya viwango, vigezo na sifa vya udahili wa wanafunzi kujiunga na vyuo vikuu kwa upande wa...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Hahahahahaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Bodi ya vyuo vikuu nchini Tanzania kupitia tangazo lake imepunguza vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2016/2017...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf Nauliza kitu kimoja hivi mtu akisoma ualimu wa masomo ya science katik vyuo private atakuwa treated sawa na mtu anaesoma course hyo katika chuo cha serikali. Namaanisha in terms...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom