Hatimae tena TCU wamebadilisha alama za kujiunga.
Diploma kujiunga bachelor ilikuwa 3.5 sasa imekuwa from 3.5 mpaka 3.0 wanamchukua.
FTC kujiunga degree ilikuwa B. Sasa waweza kujiunga ukiwa na...
Naomba kufaham kuhusiana ni course inayotambulika kama COMMUNITY HEALTH ""
1- inahusiana na mambo gan hasa?
2- hii course unawez kusomea mpka ktk ngaz gan?
3- je ina mashko sana baada ya...
Habarini nyote.....!
Uzi huu ni mahususi kwa wale wote wenye mawazo ya kughairi mwaka kutokana na kutemwa
Nianze kwa kuwapa pole wote mliokosa first batch au first round msikate tamaa kwa kuwa...
Wenye Diploma wanaotaka kujiunga na Elimu ya Chuo kikuu wamepunguziwa GPA kutoka 3.5 mpaka 3.0 kama kigezo pale TCU
Na mwisho wa maombi ni September 23 na ni kwa waombaji wapya tu,kama ulishaomba...
Natanguliza salamu wakuu! NIFANYE NN nimesahau passoward yangu ya kufungulia A/C ya TCU nataka kuangalia nimechaguliwa chuo gani! Kwa wanaojua Tusaidiane.
"CPA(T) tutors" ni wakufunzi kwenye madarasa ya kuwaandaa watainiwa kuweza kufanya mitihani inayotolewa na bodi ya taifa ya wahasibu na wakaguzi wa fedha Tanzania (NBAA) yenye lengo la kuwapa...
Watu ninaowauliza wananichanganya. Kila mtu anasema lake. Basi kwa mwenye uhakika anijuze, kuhusu A,B,C inaanzia ngapi hadi ngapi ili nijikadilie. Mimi ni PC wa CSEE 2016.
kama wamepunguza GPA from 3.5 to 3.0 kwa diploma holder, pia ni bora wangepunguza izo D to E kwa form six ili watende haki sawa kwa wote, na hata wakipunguza is already to late, ila kuna watu bado...
NACTE Tunaomba baada ya selection ya tarehe 15/9/2016 mfungulie tena CAS ili kutoa fursa kubadili machaguo kama tutakuwa tumekosa machaguo tuliyofanya awali.
Bado baadhi ya vyuo via nafasi...
Naomba kwa wale waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha daresalam (udsm)main campas tutafutane kwa namba 0768048846 mimi niko pale mwaka wa tatu course bsc with education
...pls nahitaji sana...
Habari wana jamii
Je kuna uwezekano wa kuhama chuo na kozi husika kwa mfano mtu umechaguliwa ualimu una qualification za kusoma nursing
je inawezekana kuhama kama chuo unachotaka kuhamia ni cha...
Habari wadau wa Jf
Kama ulifanya second round application ya TCU siku za nyuma ulikuwa ukijaza course 4 ilikuwa huwez tena kuongeza ya 5 lakini cha ajabu jana nilipoclick "make second round...
Jaman mimi ni diploma holder nime-aply kwenda degree ,,NACTE walishafanya tathmini ya vyeti vyangu na kuniambia "requred qulification found"
Lakin cha kushangaza leo nakuta wananiambia "update...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.