Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
TCU imemaliza udahili kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa awamu ya kwanza jumla ya waombaji walikuwa 55,347 waombaji wenye sifa walikuwa 47,203 katika waombaji wenye sifa waliopata nafasi ni 30,731...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanachuo waliofukuzwa UDOM wa special diploma ambao walikuwa hawana vigezo vya kusoma pale serikali iliwapangia vyuo vya walimu vya kawaida mfano Butimba TTC, Kasulu TTC, Korogwe TTC serikali...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wanajamiii wote Tukumbushane mwisho wa kufanya maombi kwa tcu cas ni kesho saa 6 usiku. Upatapo taarifa hii mjuze na mwingine. Hii inawahusu wa F6 Diploma.. Na RPl
1 Reactions
9 Replies
2K Views
TCU tupangieni vyuo ili tujipange kwa ajili yavyo. Tangu 12/09 mpaka sasa hakuna kinachoendelea, mnatufikiriaje?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi courses zilizoandikwa non priority mfano T. I. A , IFM , CBE hv hawatoi mkopo kabisa au?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF, naomba msaada wenu, ntapataje matokeo yangu NACTE, nilimaliza ftc mech. pale DIT...2003-2006.. Nimetafuta mtandaoni siyapati. Nataka kuendelea kusoma..
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Habari zenu wadau.... Nimehitimu kidato cha sita, nimepata division 3. Nimeomba kozi ya sheria ngazi ya diploma ktk vyuo mbalimbali kwa mfumo tofauti. Kwanza niliomba chuo kimoja hapa mkoani...
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Hv ni kwl st.joseph collegw of health wameshaanza kuwaatarifu kwa sms wanafunzi waliochgliwa hpo kwa coz za degrii???
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Jamani wana Jf,, hivi inawezekana kama.. diproma alisomea bussness kuna uwezekano chuo kubadilisha na kuchukua bachelor of arts with education?
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Nimechaguliwa diploma ya clinical medicine katika chuo cha CLINICAL OFFICER BUMBURI-LUSHOTO TANGA,,, mm chuo sikifahamu je mazingira yake ufundishaji wake ntaweza pata hiyo GPA YA 3.5?? ...
1 Reactions
5 Replies
918 Views
Naomba kuuliza jmn,hivi kusomea pharmacy Kwa ngazi ya Cheti ni miaka mingapi Hadi kufikia diploma?
0 Reactions
3 Replies
870 Views
nashindwa kuelewa had sasa niki apply .list ya vyuo haiji kwenye profile . vyuo ndo vimejaa au
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi niliapply vyuo kwenye profile langu . halaf Jana nika remove ili niweke vyuo ambavyo Havana ushindan. baada ya kuremove nikijaribu Ku apply upya list ya vyuo haiji mpaka sasa hiv nimekesha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
habari za asubuhi wana jf.. Nina somea computer science level ya degree,nahtaji kufahamu material,njia Na sehemu ambayo nitapractice hizi cozi vizuri kwa muda wangu wa ziada pia naomba guidance...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Salaam Naomba kujua utaratibu wa Fao la Kujitoa NSSF ulivyo sasa. Shukrani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni miaka miwili imepita tangu nimalize masomo yangu hapo dit shahada ya uhandisi umeme.Tatizo ni kwamba kumekuwa na ucheleweshwaji wa utoji wa vyeti kwa wahitimu.Huwa najiuliza hivi hawa viongozi...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Hakika swali juu ya kubadilika kwa vigezo vya kujiunga chuo kikuu baada ya ma badiliko ya kutoka GPA ya 3.5 hadi 3.0 limenifanya niwe makini sana kujua majibu ya serikali. Lakini majibu ni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
MWAKA WA MASOMO UJAO 2017/2018 TUTEGEMEE MABADILIKO YA KISIASA BILA KUFANYA UTAFITI KWENYE SIFA ZA KUINGIA CHUO KIKUU AMBAZO ZITALETA MADHARA MAKUBWA.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za weekend wana jamii forum Naomba kujua idadi ya kuchagua vyou ni ngap? Na kila chuo kimoja naruhusiwa kufanya chaguz za course mwisho ngap? Kwa mfano mm nimechagua; 1. St. Augustine...
0 Reactions
6 Replies
800 Views
Nimetemwa first round Nataka niendelee kusoma sayansi chuoni Nimemaliza pcm nikiwa na DDE Kama in mzoefu naomba nishauri Kidogo ili niweze kuchaguliwa Kama una idea ya faculty yoyote nili niweze...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom