Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
JAMANI KUNA NDUGU YANGU KACHAGULIWA MASASI COTC KAMA DIPLOMA IN CLINICAL OFFICER (IN SERVICE) LAKINI CHA AJABU JOINING INSTRUCTIONS HAJATUMIWA NA NAMBA YAO HAIPATIKANI NINGEOMBA MSAADA WA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa Upande wa shahada nafahamu utaratibu uliyo, ila nataka ufahamu kidogo kwa diploma. Iwapo mtanzania akiamua kwenda kusoma diploma nje ya nchi, je diploma yake itatambulika hapa kwetu? anaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama Ulichagua first choice b com in marketing ya udsm afu chagua second choice ya bcom in human resource hapo udsm wakakuchagua second choice je ukifika chuo unaweza kubadili kwenda bcom in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za siku wakuu. Je kwa matokeo haya kwa PCM nilipata CCC. Nilikosa 1st round sasa nimeapply second round computer science udsm, computer science IFM, Geoinformatics Ardhi na IT IFM. Wakuu...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
WAKUU HABARI. Hapa tunataka kupeana ma info. ya mwenendo mzima wa kuomba vyuo na course zenyewe make mda nao ndo huo unayoyoma maana wengine tulikua tumepotezea elimu ya juu. ahsante!
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Wakuu profile zetu kwa watu wa diploma zinafunguka hadi kwenye view choosen programs lakini sielewi elewi maana niki-view program katika vyuo nilivyochagua nakuta baadhi ya program admission...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
RE: REVISED DECISION ON MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS The Tanzania Commission for Universities (TCU) through the earlier public notice issued...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanaJF, nahitaji mwalimu wa arts naomba anitafute sasa hivi maana kesho saa 10:00 kamili asubuhi anahitaika awe anafundisha. Kwa mawasiliano nichek 0755429928. Walimu waliopo dodoma tu.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza!!!! Anayetaka kwenda degree mwenye diploma pesa analipia nacte au TCU????
0 Reactions
6 Replies
783 Views
...
2 Reactions
5 Replies
949 Views
Tuliochaguliwa MUM, Bachelor of Arts with Education tukutane hapa ili tupeane taatifa na tujuane kabla ya kuripoti
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za sa hizi wanajamvii huu Uzi ni kwa ajairi ya applicants walio chaguliwa sua au kwa yeyote anayesoma au ata kukifahamu hiki chuo vizuri Lengo Ni kujua changamoto za pale na jinsi gani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
habari wana JF....naomba mnisaidie majibu ya swali langu.....jee kama unasomea technicians in animal health and production kwa ngazi ya cheti....ajira zipo au ni za kusuasua.....??majibu yenu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyetumiwa joining instruction kwa wale waliochaguliwa second selection,kwani kwenye profile la mdogo wangu hakuna chochote kinachoendelea zaidi ya kuandikiwa...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Habar za wakat huu, Mimi ni kijana ninayesoma college ngazi ya diploma nnaishi mbali kidogo na wazaz wangu na kutokana na kutokana na kuendelea na masomo huwa nahitaji msaada wa pesa ya ada na...
1 Reactions
6 Replies
759 Views
kama waliokosa sifa ni 8144 na walilipa 50000 kila mmoja, ukichuku 8144 mara 50000, nadhani waathirika kule wanasubiri msaada huo
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Tunaomba kujua hostel za nje zilizopo ajuco..kribu na school of medicine. Gharama zake na umbali pia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Please nilikuwa naombeni msaada wenu, kuna ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2015 amepata division 3 ya 25 but hakuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano, Nilikuwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF naombeni kujua kwamba KAMA umechaguliwa chuo na haukwenda utafa nyaje nwaka ijao ili kwenda kusoma chuo kwa mwaka 2017/18
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaaada jameni hii bcs.optometry ya kcmc inahusu nn?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom