Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani habari za usiku raia wana jamiiforum nilkua nauliza je TCU application unaruhusiwa kujaza nafasi nne tu yani I mean uchague mara 4 na sio mara 5 au ni lazima ujaze zote mara5
0 Reactions
6 Replies
773 Views
Habari wana jf Nalazimika kuandika haya ili kuwekana sawa na hawa ndugu zetu waliopewa mamlaka ya kuendesha udahili wa pamoja yaani NACTE. Ukitazama hiyo screenshot hapo juu, kuna program namba...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
*MPYA* *UDOM INATANGAZA NAFASI KWA WANAFUNZI WENYE SIFA KATIKA KOZI ZA DIPLOMA NA CHETI 2016/2017* *HII INAWAHUSU PIA WALE FORM SIX ZAIDI YA 18000 WALIOOMBA TCU WAKATI HAWANA SIFA 4PTS ,ZA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa jamhuru ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa (16/09/2016 11:40Am. "mheshimiwa spika kuhusu upungufu wa walimu serikali imeona iwapange walimu mashuleni moja kwa moja, nguvu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Katika hali isiyo na usawa ni kile wanachotendewa wanafunzi wanao omba kujiunga Undergraduate katika mwaka wa masomo 2016/17 wakiwa na Diploma kama sifa za kuingilia (Equivalent). Huu uonevu...
9 Reactions
11 Replies
3K Views
Selection za vyuo form 6 niliambiwa tu nmechaguliwa TIA mwenye link anaweza kunisaidia nikaangalia
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna tofaut gani kati ya degree hizo mbili za NIT pamoja na priority za ajira zao wanapograduate kwa Tanzania na nje ya Tanzania nani anakuwa bora kuliko mwenzake mwenye uelewa wa hizo mbili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
This is to inform the Public that the deadline for online application for Diploma and Certificate Programmes for Academic Year 2016/2017 has been extended to 24th September to allow those failed...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums, Nilikuwa nauliza lini majibu yatatoka kwa wale walioomba maombi ya vyuo kwa mara ya pili. Nawasilisha.
1 Reactions
371 Replies
39K Views
Vp wa foundation mwaka huu wanaendelea na degree au?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa yeyote mwenye kuhtaji hostel aliyechaguliwa chuo kikuu cha tumaini makumira karibuni sana Bei ni ya kawaida tutakupokea na kukupa hifadhi ya mwezi mmoja bure ndio uanze kulipa kodi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Walimu watakaoajiriwa watapangwa moja kwa moja shuleni na maeneo yenye upungufu' #Waziri mkuu KASSIM MAJALIWA-Bungeni
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Malipo ya elimu ya degree ni shilingi ngapi za Tanzania kwa fani yoyote mnayoijua wanajf.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maandamano yametokea maeneo mbalimbali Huko mwanza nje ya ofisi za NACTE kudai majibu yao yaliyo cheleweshwa kutoka tangu walipo apply tarehe 31Agust Chanzo:cloudsfm
2 Reactions
17 Replies
3K Views
wanabod naomba kuuliza hv tcu wakinitema second round je naweza kwenda kuombea nafasi direct chuon?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nasikia suala la kupata viza inasumbua,naomba anaejua jinsi ambavyo naweza kupata viza bila usumbufu ,anisaidia,au jinsi ya kupata wakala au wapiga debe (please kutumia hilo neno debe).kama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habarini, Naombeni msaada mwenye kujua chuo kizuri cha mafunzo ya IT mjini moshi. Wenyeji na wazoefu wa moshi nawaombeni msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa na NACTE na TCU ili kujiunga na chuo cha kimataifa cha Kampala, napenda kuwakaribisha saana chuoni hapo.. Chuo kipo Gongo la mboto mwisho, mazingira ya chuo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jaman kuna taarifa yoyote mpya kuhusu ajira mpya mwaka huu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ajira rasmi mwezi november
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom