Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana JF, nipo katika research nataka kuanzisha kituo cha kuendeleza elimu hasa katika masomo yanayowasumbua sana wanafunzi shule za msingi na sekondari. Naombeni michango yenu ya mawazo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale walioichagua ifm majina yametoka pitia kujua kama ni mmoja wao
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Shule iwe nzuri kitaaluma, na ada isizidi mil1.3. Iwe ya bweni na kutwa, iwe Temeke au pembezoni mwa Temeke, Dsm. Kama unajua shule yoyote yenye sifa hizo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Anayejua jinsi ya kusave nikishamaliza kufanya selection za vyuo anisaidie nashindwa hapo kusubmitt ili iwe nimeshatuma maombi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wale waliochaguliwa T.I.A (dareslaam campus) tukutane hapa
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nipo katika research nataka kuanzisha kituo cha kuendeleza elimu hasa katika masomo yanayowasumua sana wanafunzi shule za msingi na sekondari. Naombeni michango yenu ya mawazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninaomba nacte mutasaidie kuhusu huu wizi wa baadhi ya vyuo vya private,kwani miongoni mwao wameandikia wanafunzi waende kuripoti na pesa ya majengo(Building contibution).Sasa mimi nauliza hawa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi second selection aliyesikia tetesi zinatoka lini? maana kuna jamaa mtaani kwetu anasema aliomba siku waliofungua mtandao (CAS) mara ya pili anadai kashapatiwa majibu kuwa amechaguliwa ni...
0 Reactions
5 Replies
806 Views
Wakuu naomba msaada kidogo unawezaje kuangallia selection ulizofanya kwa wale walio apply through nacte.Kwa wale form six kuna sehemu imeandikwa VIEW SELECTION je kwa diploma unabonyeza wapi kuiona.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za apa wanajamvi, naomba kujuzwa mitihani ya cfa,, chartered financial analyst hapa Tz inafanyika wapi? Na utaratibu ni upi kwa mtu mwenye degree ya economics au finance,, Thanks in advance!
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani kwa anayejiweza kuprove fomula atusaidie 1.MEDIAN 2.MEAN 3.VARIANCE 4.AP&GP 5.SETS
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Anaetaka hostel CBE kwa upande wa kiume anitext 0625979620 ipo asitumie whatsapp
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujulishwa mashirika yanayotoa ufadhili au mtu binafsi kwa ngazi ya diploma nursing
0 Reactions
3 Replies
856 Views
kama kuna vijana walio katika uwanja wa medicine !.. na wanahitaji kufanya residency US, DENMARK ! SWEDEN au kama unahitaji info yoyote about Medical Residency .. i will be more than happy to...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
5 Reactions
162 Replies
11K Views
Uhamisho wa watumishi wa serikali uliopaswa kufanyika mwezi June mwaka huu hadi sasa ni kimya! Ni vema serikali ikaweka mambo mezani ijulikane hatima yake ni ipi kuliko kuwaacha watu njia panda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wote mliokutana na hili neno msipagawe... May be TCU hawajamaliza kuingiza data za Applicants wote..! Nani anajua..? Pia je,TCU wameshatoa official announcement kuhusu utayari wa results za first...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
STUDENT SELECTED TO JOIN BACHELOR DEGREE 2015/2016 ACADEMIC YEAR-FIRST SELECTION | TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Natafuta kitabu cha zamani kidogo kinachoitwa "Safari ya Bulicheka na mke wake". Nimejaribu maktaba zote bila mafanikio!!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom