My dear friends. I'm really in need of advanced mathematics notes 1&2. Please if you have it email me through amwamtobe@gmail.com.
If it costs anything, please let us negotiate through that...
Baada ya tume ya vyuo vikuu Tanzania kupandisha na kushusha minimum requirement za udahili vyuo vikuu kutoka 3.5 mpka 3.0,Je! Niipi hatma ya wanafunzi waliopata G.P.A 2.7 mpaka G.P.A 2.9 ??
MATOKEO YA
WALIOCHAGULIWA
KUJIUNGA NA VYUO VYA
UALIMU VYA SERIKALI
KWA MWAKA WA
MASOMO 2016/2017
Date Posted: 14th September
2016 16:42:58 Posted By:
NACTE
Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi...
Please be informed that you have been provisionally selected to join above Programme and said Institution/College, pending to the confirmation of the Institution/College.
Unajulishwa kwamba...
Habari vipi wakuu?? naona ukiingia kwenye website ya nacte kwenye results wameandika we are finalizing second selection, je kuna ambao wameshapata hyo first selection ya nacte???
Tafadhali naomba ufafanuzi katika hili, Je Mtu mwenye Ordinary Diploma ( primary Teacher Education) GPA 3.0 Ya mwaka 2015 from Open University of Tanzania anakua na sifa ya kuendelea na Degree...
Wadau naomba mwenye joining instruction ya Shirati School of Nursing anisaidie au tuwasiliane kupitia namba 0763814980 maana naangalia kwenye website yao hakna kitu.
Kwamfano leo hii umepata chance ya kusomeshwa na mzamin aliyejitolea kukusomesha na akakuambia uchague kati ya uhasibu au uchumi,je ungekuwa wewe ungechagua course gani?? Na sababu ya kuchagua iyo...
Kundi la wanafunzi kutoka chuo cha SUA wamekutana na mkurugenzi wa halmashauri ya Malinyi, vijana hao wamejitolea kutoa huduma za ugani na utalaam wa kilimo kwa Wakulima ndani ya wilaya ya...
Wakuu habari zenu?
kuna ndugu yangu kachaguliwa chuo tajwa hapo juu kusoma certificate ya mambo ya pharmacy.
lakini katika status ya profile yake inasema pending, kwamba wanasubiri confirmation...
Habari wana jamvi.
kuna habari moja ya kusikitisha inayowahusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza Msumbiji wametoswa bila kupewa sababu ya kutoswa huko.Hyo ni baada ya...
Ilikuwa 22-06-2016 ilitoka kauli hii, ''NASITISHA AJIRA KWA MWEZI MMOJA AU MMOJA NA NUSU, HAITAZIDI MIEZI MIWILI'' sasa miezi mitatu itatimia kesho kutwa.
Msema kweli mpenzi wa Mungu...
Nashindwa kuwaelewa tcu jamani. Nimeingia sasa hivi kwenye profile yangu, cha kushangaza nimekuta faculty nilizotemwa bado zinahitaji watu. Sasa kwa nn nilitemwa
Habarini wakuu!!!
Hv India wana System km ya TCU - CAS ktk udahili/kuomba vyuo vikuu kwa pamoja???
...namaanisha wanaomba kwa kutumia CENTRAL ADMISSION SYSTEM ktm huku Tz?
je ni ipi Website yao...
Samahani wakuu kwa anayekijua vizuri chuo cha NIT mazingira ya chuo yapo vipi kwa kusoma, na changamoto atakazo kumbana nazo huyu dogo ni kama zipi?
Maana ameapply hapo anataka kusoma transport...
Wakuu habari zenu, jaman Mimi nimemaliza kidato cha 4(form4) mwaka jana2015 hivyo nikaamua Ku apply UDOM kozi ya (Medical laboratory Technology) in Diploma;mwezi wa 8 tare 10 mwaka huu (2016)na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.