habari za wakati wana jf selection nacte ziliisha toka kwa wale tuliomba ualimu vyuo vya selikari naomba kujua je profile zenu zimeandikwa diploma in primary education (prr sevirce) ni techinician...
IJUE TOFAUTI KATI YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA YUU (HESLB) NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
Waungwana nawasalimu
Kumekua na mkanganyiko mkubwa kwa baadhi ya watu /wanafunzi...
Kuteleza sio kuanguka TCU mengi mnayoamua ni ya hovyo sana hapa HAKI itakuwa haijakamilika kama hamtarekebisha na cutoff points kwa form six graduates.
Kumbukeni maamuzi mliyatoa kwa wote Diploma...
Mi nimefanya mtihani wa form 6 kama private candidate mwaka huu HGK nikapata 2.10. Ila nilipoomba chuo TCU wakanitema,
je inawezekana ni kwa sababu nilifanya mtihani km PC na ni wengi au tatizo...
kwa first year wote waliochaguliwa udom-college of informatics and virtual education (CIVE) 2016/2017 tukutane hapa uliza swali lolote utajibiwa! karibuni sana na hongereni sana kwa kuchaguliwa...
Kuna mambo mengi ya kuyaongelea kuhusu UDOM lakini jambo mojawapo ni kwamba UDOM haijawahi kuwa na uhaba wa hostel hivyo vyumba vya kulala vipo bwelele mpaka kuna vyumba watu wanaishi wawili tu...
Jaman ndungu zangu kwa anaeifahamu kozi hii ya mechatronics engineering anijuze vizuri .....
Na vipi kuhusu soko la ajira kwa sasa inalipa? Na je unaeza kujiajiri wapi ?
Nimechaguliwa certificate of clinical medicine lakn kaagzwa nipeleke vfaa hv ,clinical thermometer,stethoscope,glucometr,na Bp machine manual, include vtabu vya physiology na anatomy, naomba kujua...
naombeni kuuliza baada ya hii round ya kesho kupita wanaweza kuongeza siku nyingine ya kuaapply kwa wale ambao hawakupata nafasi katika hizi round zote zilizopita? msaada tafadhali
Hi! Mimi ni miongoni mwa wanaosubiria ajira ya ualimu mwaka huu. Lakini nilifanya application ya kufundisha MIEZI 3 nyuma katika shule ya private.
Juzi tu nimeitwa nimeambiwa napewa mkataba...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha iringa university nasoma diploma ya procuremnt and material management mwaka wa kwanza na mwezi wa kumi naingia mwaka wapili lakini nimeshindwa kupata ada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.