je chuo kipi kizur katika mkoa wa tanga kati ya tiofilo na eckernford tanga university??tafadhali naomba majib nimekwama nataka sifa za hivi chuo ili niweze kujazia udahili wangu!!shukrani
Hi JF members and none.
I am specializing in software for a many years.Form Management,Accounting and payroll.
I am looking any online or offline class where I can teach the application of...
Wakuu, kwanza niwasalimu.
Mimi ni PCB na nimebahatika kuchaguliwa katika FIRST ROUND ya TCU nipo hapa nikisubiri confirmation kutoka vyuo tajwa hapo chini.
Wakuu nakaribisha maoni;
Anayeweza...
Bodi kutotoa mikopo kwa wadahili wapya baada ya TCU kushusha viwango | MPEKUZI
Mbona msalaba huu ni mkubwa sana kwa wale wenye 3.0-3.4 waliyoacha kuomba mkopo kutokana na vigezo vya awali yaani...
Wasalaam wanajukwaa.
Katika orodha ya vyuo bora Africa iliyotolewa mwaka huu 2016 na mtandao wa Times Higher Education (THE), Tanzania haina chuo hata kimoja katika orodha hiyo tofauti na miaka...
Baada ya serikali kutangaza alama za kuingia chuo kikuu mwaka huu 2016/17 kwa wenye Diploma kuwa ni 3.5 GPA.Siku chache wik iliyopita wametangaza kuchucha GPA toka 3.5 hadi 3.0 huku dirizha la...
Hii ni kutokana na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESBL) walishafunga mchakato wake wa uombaji mikopo hivyo, hawataongeza muda kwa ajili ya wanafunzi wapya waliochaguliwa na TCU...
Nina mdogo wangu kachaguliwa Mwl Nyerere memorial campus ya zanzibar but yeye anahitaj kuhama asome campus ya Dar es salaam...ni hatua zipi za kufata kufanikisha hili?
Wakuu salaam.Nina upper second class GPA YA 3.5 with honors kutoka UDSM LLB JE NIKIOMBA KUWA LECTURER WA VYUO VINGINE WATANIKUBALIA AU WATAKATAA?? Kwa mwenye kujua naomba msaada.
Habari wadau, nimejikuta nimechelewa kuapply kiasi kwamba sasa hivi ndio nahangaikia kupata Chuo cha afya cha serikali hapa mkoani. Nina ufaulu mzuri tu Chem A Bio A physics C tatizo langu ni...
nilifanya application ya degree na nikachaguliwa lakini cha ajabu course niliyomba iomba udom na waliyonipangia apo udom ni tofauti kabisa na hyo course sikuhijaza hata katika hvo vyuo vingne...
Tanzania viongozi wetu hasa katika sekta ya elimu wana matatizo ya kifikra.Elimu ni haki ya kila mtanzania na si kwamba ni kitu cha watu wachache wenye akili saaaana au kwamba ni vita.
Hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.