Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
What is pharmacy? What's the impotance of pharmacists? What do pharmacists do?
0 Reactions
28 Replies
5K Views
wale wote waliochaguliwa the mwalimu nyerere memoria academy tukutane hapa tujadiri mazingira na jinsi ya kupata joinning instructions
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ofisini kwetu kumefanyika mchakato wa scheme of services so watu wamepanda madaraja na mishahara kutokana na sifa zao...but Msala umewakumba wale wenye baadhi ya vyeti vya CHEMWALI...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarin za uzma wana jf, nina mdogo wangu wamemchagua kozi ya ICT ,ila hajapenda kuisoma anataka akasome medicine upande wa afya. anaweza je? Kubadili faculty ya sayansi na technology kwenda...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
habari zenu wakuu.. Naomba msaada wa shule ipi ya private ya wasichana yenye academic perfomance nzuri na ada uwezo wangu kwa mwaka ni milion 2 nataka nimpeleke binti yangu kidato cha kwanza mwakani
0 Reactions
3 Replies
587 Views
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imesema haiwezi kutoa mikopo kwa waombaji wapya walioomba baada ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kushusha viwango vya udahili. Wiki iliyopita, TCU...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Nimemaliza dipoma ya human.resource management, na nimeapply chuo kusoma degree nimechangua hivi vyuo wadau naomba mnisaidie kujua nitapata wap, 1. Ushirika moshi BHRM 2. UDOM BCHRM 3. sauti...
0 Reactions
2 Replies
460 Views
za wakati huu wadau,nimemaliza bachelor degree na ningependa kuendelea na masomo ya masters marekani naomba kama kuna mtu ana fahamu minimum GPA inayo hitajika kwa sisi wabongo ili kusoma masters...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mwenye ufahamu na hiki chuo, mazingira, gharama za maisha,hostel na hadhi ya elimu inayotolewa kwa sasa anijuze...pia kama ukiwa na picha ya mazingira yake mnaweza kuweka...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Je wewe chuo chako cha ngapi kitaifa na kimataifa? Ifuatayo ni orodha hiyo na nafasi za vyuo kimataifa: 1. University of Dar Es Salaam (World rank: 2035) 2. Sokoine University of Agriculture...
0 Reactions
31 Replies
22K Views
Karibuni sana College of Informatics and Virtual Education (CIVE)! Class rooms Administration Building known as MV MVUNGI(Former PRINCIPAL) Computer Laboratory Hostel
0 Reactions
17 Replies
4K Views
hahaaaaa..siamini vijana wamekaa kitaa mwaka na nusu bila ajira pamoja na kusomea ualimu..je watakapoajiri wataajiri wapi hao..je waliomaliza mwaka jana au mwaka huuu... Mh...naona ninomaaaa
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nilikuwa nauliza second selection za nacte zinaweza kutoka lini
0 Reactions
110 Replies
14K Views
inawezekana kurisiti mwaka huu coz nackia hawatak vyet vya kuunga unga
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vp hali zenu wana jukwaa . Nimemaliza diploma katika fani ya manunuzi , ila kwa upande wa degree nimeona niombe uhasibu . Kwani naona ni vyema kua na vyeti viwili vya fani tofauti ,kwani hapo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
joining instruction
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Ipi tofauti haya maneno university college, university, college Institute
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Ndugu zangu Kuna ndugu yangu kapata 2 aliomba First priority health system n management Mzumbe. Second akaomba UDOM Law. Third akaomba mzumbe Law Fourth akaomba UDSM Law Na tano akaomba UDSM...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Calculate the mass of Nacl that will react with excess silver nitrate to produce 400g of silver chloride
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi joining instructions za vyuo vya afya ni lini zaweza kuwa tayari. Na hivyo vyuo vitafunhuliwa lini?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom