Katika kuhakikisha kuwa walimu wanaingia darasani kumeandaliwa utaratibu wa kuwapa tablet walimu wakuu na wakuu wa shule ili kumpiga picha kila mwalimu pindi anapoingia darasani ili kuthibitisha...
SERIKALI YA JPM ILIVYOWEKEZA "KUUA" SEKTA YA ELIMU NCHINI.
By Malisa GJ,
Nianze kwa kusema nilitegemea Serikali ya JPM ingeweka mikakati ya kuboresha sekta ya elimu kutokana na serikali...
habar wana jf .Mimi pc nimechaguliwa Udom BAED in arts naomba kufahamishwa km join instruction imeshatoka?...kwani email yangu imegoma kufunguka inaniandika username or password is incorrect...
Kenya is 2 hrs ahead of Nigeria, but it does not mean that Nigeria is slow, or that Kenya is fast. Both countries are working based on their own "Time Zone."
Some one is still single. Someone...
Je unavitambua vyuo vikuu bora duniani?
Chuo kikuu cha Oxford kimeibuka kidedea katika orodha ya vyuo vikuu bora duniani ya Times Higher Education. Hi ni mara ya kwanza kwa chuo kikuu cha...
naomba mtu yeyote anaejua kuhusu udahili wa wanafunzi wa mwaka wa masomo 2016/2017 ya sant augustine university(SAUT)na tarehe za kureport na majina yaliotoka anifahamishe
wadau nlikuwa not selected first round tena kwenye kozi nioizoomba lakini Leo nashangaa UDSM wametoa majina ya waliodahiliwa na LA kwangu lipo afu huku nishafanya reapplication sasaa hawa...
Binafsi mie nilikuwa mzuri wa Biology, nilifaulu sana na kulead in class ila cha kushangaza, baada ya form six nikaenda kusoma uchumi in which sikufanya vizuri kabisa darasani. Nilipomaliza chuo...
Kama umechaguliwa Sua karibu na uulize hapa. Nitakusaidia kwa ushauri maana hata mimi nilikuwa Mdau wa chuo hicho nilisoma hapo BSc Forestry. kwa hiyo chuo hicho ninawafahamu vizuri. Chuo ni...
Kwa walioomba kujiunga na vyuo vya afya na mkachaguliwa kujiunga na vyuo vya serikali, joining instructions zimetumwa kwenye emails zenu kaangalieni.
NB hii ni kwa walioomba kupitia NACTE
Wakuu nimekuwa nafuatilia kuhusu TCU na NACTE kila nukta. Inaonekana sie wa Diploma tunakamuliwa vifurushi tuu.
Anyway nimeamua nisifuatilie tena maana uhakika ninao.
Kabla ya udahili kufungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.