Ardhi inaitwa bachelor of science in environmental science and management miaka 4 ya SUA inaitwa bachelor of science environmental science and management, tofauti ya hizo degree ni ipi naomba...
Ni vyema kujuana coz kila mtu anatoka sehemu tofauti tofauti
Angalizo kama hakikuhusu sio lazima kuchangia ndugu yangu kwa inayomuhusu ataona umuhimu wake. MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION
Sikupata first selection ya chuo mwaka huu tuliombiwa tuombe second round chuo pekee kilichokuwa na faculty yangu ndo hicho please nipeni mwanga kidogo wa pale maisha ya tabora na product ya pale...
Wakuu msaada kuhusu utaratibu wa kupangiwa hostel za ndan ya chuo kwa wanafunzi wa DIT (level ya degree) ukoje? au nao wanawapa kipaumbele wanafunz wa first year? msaada please
Habari wadau,
Mimi kitaaluma ni Graphic designer ambaye nimekuwa kwenye hii industry kwa muda mrefu kidogo. Katika mazingira ya kazi yangu nimekutana na fursa ambayo nataka kuichangamkia, nayo ni...
Salamu kwenu wadau, kwa anayefahamu, naomba kufahamishwa kwa undani kuhusu College ya COICT pale UDSM...
Vilevile kwa wale waliofanikiwa kuchaguliwa any degree program COICT naomba tukutane hapa...
Nimekuwepo hapa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi na sivutiwi kabisa na kiwango cha taaluma kinachotolewa hapa,utaratibu wa tests na mitihani ni wa hovyo hovyo tu imagine lecturer anawapeni test...
Nashauri TCU na NACTE wafanye haya:- warudishi mfumo wa mwanzo wa kudahili wanafunzi muda wowote kwa vyuo, kama ilivyo Open University of Tanzania na Jomo kenyatta University lakini udahili upitie...
Kuna habari kuwa kwa takribani miaka miwili sasa baraza la mitihani kuna hakukaliki kwa wafanyakazi wake aidha kuondolewa ama kujiondoa wenyewe kufuatia ubabe uliopo pale wa katibu wake Mtendaji...
Mtihani uliko kuwa ufanyike leo asubuhi wa hesabu kidacho cha nne umefutwa nchi nzima mpaka hapo baaada...sababu zinazosemkena ni kuvuja kwa mtihani...Dar es salaam.
My Take...
Inawezekana...
Homa mitihani kuvuja
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SAKATA la kuvuja kwa mitihani ya kidato cha nne linazidi kuchukua sura mpya tangu Baraza la Taifa la Mitihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.