Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari, Niko COET BSc Telecom engineering naingia mwaka wa pili. Aliye tayar kufanya cost sharing ya room, fanya kuni DM
0 Reactions
4 Replies
771 Views
Hivi hiki chuo kitatoa lini majina ya undergraduate 2016/2017
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Coz ya land valuation hapa tz inalipa au majanga tuh kama zingine??
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Habari zenu wakuu, Naomba kujuzwa kwa anayemjua huyo jamaa maana nimemsikia na kumtaja toka nilivyokua mtoto mpaka sasa, ila bado mpaka sasa hivi simjui ni nani!! :behindsofa:
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habarii zenu wakuu,nilikua naomba mnielezee kuhusu conas,pia kuna changamoto zp,nimechaguliwa hpo petroleum geology, asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya haya wale waliokuwa wanawangoja UDSM twende sasa
3 Reactions
57 Replies
7K Views
habari wana FORUM naomba kufahamishwa mwenye uelewa wa field za kazi ya mtu mwenye master of science in Epidemiology & Applied biostatistatistics inaotolewa KCMC na zile za MSc applied...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jmani nilikuwa na uliza vipi kuhusu tuliokuwaa na GPA ya3.0 natulishaa apply mikopo kipndi chazamani kabla hawajapandishaa GPA na tukaa ruhusiwaa kuaaply tena hvi karbuni je tunawezaa kupta??
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Vipi wadau,, naomba msaada ivi udom imetoa joining instruction kwa wale wa degree? na kama tayari nitaipataje?
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu naulizia utaratibu wa kutuma maombi ya chuo na vyuo vizuri nchini kenya level ya bachelor.kuna dogo amepata DEE hgl anaweza kuchukuliwa kenya.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Walioapply ruaha catholic university waingie kwenye website ya chuo wameshaweka majina waliochaguliwa
0 Reactions
6 Replies
39K Views
Wakuu habari zenu ningependa tukutane hapa tujadiliane na kubadilishana mawazo nini kifanyike kukabiliana na migogoro,umaskini,ongezeko la mimba za utotoni,watoto ombaomba,watoto wa mitaani,na...
0 Reactions
6 Replies
853 Views
Hbr za mda huu wana body... Ndg zangu sioni faraja wala tumaini lolote kwa jinsi mfumo huu ulivokosa Dora na uelekeo.. Tokea ngaz ya chin had juu in tabu na vurugu tupu
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Ndugu wana JF tuliochaguliwa IFM tukutane hapa tupeane uzoefu wa chuoni pia mliotutangulia karibuni mtupe changamoto
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ifm
Kwa walio chaguliwa ifm watupie namba zao hapa niwa add kwenye group whatsapp kwaajil ya uptdates
0 Reactions
0 Replies
628 Views
The following students have their status changed to Probation. They are therefore advised to appear for probation for the respective courses from Monday 26th September, 2016...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Majina yametoka Tembelea >>BONYEZA HAPA>>
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani bugando first batch list imetokaa click this link. http://www.https://jamii.app/JFUserGuide/2016/09/mpyahaya-hapa-majina-ya-wanafunzi-form_27.html?m=1
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Waungwana kusoma na kufika Univeristy kwa mfumo halisi ni majaaliwa. Wengi wameunga unga kwa kuanzia QT na kujiendeleza mpaka kupata degrees huku wakiendelea kufanya kazi. Sasa nauliza hizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waliochaguliwa ngazi ya stashahada tufahamishane mambo kadhaa na pia tufahamiane[emoji536] [emoji536]
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom