Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomben msaada wenu kwa wale wa arusha ni wap pazuri naeza pata hiyo coz
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Vipi kuusu FTSEE 2016?
0 Reactions
4 Replies
700 Views
Jaman msaada kuhusu hii cozi inayotolewa pale mweka...kuhusu suala la masomo,kujiajiti na soko la ajira kwa mtu atakaye maliza masomo....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanaJF, nahitaji mwalimu wa english, mkoa dodoma. Mawasiliano: 0652247221/0755429928
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongereni wote mliochaguliwa UDSM sisi wengine tunasubiri kwenda zetu........
0 Reactions
76 Replies
7K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1115770/ Hadi sasa sijajibiwa application yangu UDOM
0 Reactions
4 Replies
746 Views
Habari wadau naomba kuuliza anaejua chuo cha nursing chimala kama kinesajiliwa ama lah! AMA Naweza nikatumia njia gani kujua chuo kimesajiliwa ama lahmsaada wa haraka jamn
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mliruhusu watu waapply direct chuoni na watu wakalipia elfu thelasini kama application fee lakini mpaka sasa open university hawataki kutoa majina hayo ya ngazi ya degree chakushangaza leo ndoo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana JF habari zenu,nina GPA ya 3.56 ktk degree ya uchumi ninatafuta full scholarship/grant ya kuendelea na degree ya pili ( master) ya uchumi/Policy dvt/ project management/MBA mwaka kesho.Nchi...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Kama unasoma course ya Diploma in crop production (DCP) mati-u tukutane hapa, pia tuwatie moyo na tuwape mwogozo wanao taka kujoin kipindi kijacho, kwa ufupi kwa mtu aliye soma CGA (certificate in...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Hivi kama mtu amepangiwa chuo lakini kutokana na hali ya maisha akakosa hela ya kuanzia na akaamua kuahirisha mwaka hadi mwakani atakuja kuapply tena vyuo hiyo mwakani au inakuaje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani wanajukwaa naomba kuuliza hivi eti inafaa kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafasi wakupangie hapo wakati umesha apply vyuo vengine unasubiri tofauti na hicho??
0 Reactions
10 Replies
2K Views
majina hayo hapo kwenye pdf
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakubwaa mwenye kujua vizuri chuo cha MUSOMA UTALII COLLEGE _TAbora
0 Reactions
3 Replies
627 Views
[http://www.sjut.ac.tz/announcements/1st%20Batch_List%20of%20Successful%20Applicants_Bachelor%20degree.pdf]
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Selected Students for 2016-2017 Academic Year
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Aisee mi nafikiri second selection zimewekwa pending mpaka siku wakinywa chai ya maziwa ndo watatoa hayo majina.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Nina mdogo wangu amechaguliwa chuo UDOM kozi inaitwa bachellor of science in biology kitu ambacho hakuchagua kati ya yale machaguo ya tcu Sasa naomba mawazo yenu juu ya hii...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Haya kwa wale wote waliokuwa wameomba open university majina yametoka.
0 Reactions
2 Replies
631 Views
Back
Top Bottom