hivi hiki chuo chenyewe huwa kinakua cha mwisho kutoa post...almost vyuo vyote vya serikali na private vimefika 20 lkn sijaona ardhi sua wala mzumbe...watoe basi...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)kinaendelea kujitenga kiubora,na Taasisi na Vyuo vingine vya Elimu ya Juu nchini,kwa uamuzi wake wa kurejea utamaduni wake zamani kudahiliwanafunzi wenye ufaulu...
Wakubwaa shikamooni...!!
Mdogo wenu naomba msaada wa kozi hizi kwa second round
UDSM kuna Bachelor of Engineering Geology nafasi 3 zmebaki na Agriculture engineering and mechanization nafsi 12...
Wadau naomba kujuzwa tarehe ya kuripoti hapo chuo kwa wale wa ngazi ya cheti maana nina mdogo wangu kachaguliwa pale ila hadi sasa hajapata hata join instruction form masaada jamani
Hivi mtumishi wa uma espacially mwalimu anapoamua kuomba ruhusa isiyo na malipo kipi kibaya kinaweza kutokea kwake. Pia naomba ufafanuzi kwa mambo yafuatayo
1. Kuna ugumu wowote ktk kupata likizo...
Habari zenu wadau wa elimu,
Nimekuja na suala moja tu ambalo naona kama halipo sawa katika hii sekta ya elimu, suala hili ni ada !!
Ivi inakuwaje vyuo kama UDOM,UDSM,MZUMBE,SUA, n.k ambavyo...
Habari wana jamvi,
Napenda kuuliza kuhusu selection za TCU, hivi kwa watu walioandikiwa Provissionaly selected hadi chuo kiwathibitishe, ikitokea chuo hakijamthibitisha nini kitatokea kwao...
Kila niki login kwenye account nakutana na haya maneno
"You have been provisionally selected. The programme selection shall become final after the University/Institution confirms you for...
Jamani wahusika wa NIT tuhurumieni basi mtoe majina mana duuh presha zitatuua na kumaliza masalio kila siku kununua vocha kwa ajili ya MB KUFUATILIA UPDATES pia tunaathirika kila Mara Internet au...
Hivi mtumishi wa uma espacially mwalimu anapoamua kuomba ruhusa isiyo na malipo kipi kibaya kinaweza kutokea kwake. Pia naomba ufafanuzi kwa mambo yafuatayo
1. Kuna ugumu wowote ktk kupata likizo...
Mfano nimefanya Bachelor of Accounting nikamaliza mwaka huu, je mwakani naweza kutumia matokeo yangu ya form six kuapply upya tena TCU nikafanya degree tofauti, labda degree ya ICT.
ningependa kutanguliza salamu kwa wanajf wote kwani mmekuwa msaada sana katika kupeana habar
ningependa kuuliza maswali kuhusu CHUO cha DIT kwa anayekifahamu
1)elimu ya pale ni ya aina gani is it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.