Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wanajamvi, Hivi jamani hawajamaa wana ajenda gani ya siri? Mpaka Leo tarehe 27/9/2016 hawatoi matokeo ya udahili wanamaana gani?? Au ndo wanatafuta kiki ?? Au nyie mnaonaje wakuu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Tumaini University Makumira - Tumaini University Makumira
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi..... Kwa sisi tuliofanya maombi mapya ya mikopo ya elimu ya juu mwezi wa saba mpaka wa nane. Je majibu ya maombi yetu mtatupa lini maana vyuo vikuu ndo hivyo vinaanza mwaka mpya wa masomo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Enyi wapenda kuweni na moyo wa subra,, second selection wataachia tu nawe lazima uende chuo.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg wadau nina masikitiko makubwa kuhusu vyuo vikuu vinavyopandisha ada kiholela, hilo limetokea mwaka huu wa masomo 2016/17 katika chuo cha Stella Maris Mtwara University Collage, kwamba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu naombeni jibu hili swali langu hivi Tcu wanaweza wakafungua tena third round ya kufanya application?naombeni jibu tafadhali
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Nlipata IV ya 27 mwaka 2010. Nlipata D ya Biology na D nyingine za masomo mengine ya Sanaa hivyo nikaenda kusoma Certificate in General Agriculture huko Bagamoyo. Baada ya kuhitimu tukaambiwa...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
habari wa kuu kuna siku nilikutaga tangazo kwenye mtandao kuhusu chuo kinachoitwa Cavendish univasity of Uganda nikajisajili kusoma course ya bachelor of computer science leo kuna enrolment...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Www.sekomu.ac.tz
0 Reactions
0 Replies
556 Views
habari wadau kesho nimesikia kuwa SAUT wanatoa matokeo sijui kama kuna mtu anataarifa kamili kwa mwenye ndugu pale?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wenu nimechaguliwa course ya political science and public administration university of Dar es Salaam.Naombeni kufahamu kuhusu hiyo course na mengine mengi kuhusu udsm.Pia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naskia majina yashatoka ya Muhas
0 Reactions
13 Replies
2K Views
msaada kwa mada tajwa hapo juu
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Tembelea www.wdmi.ac.tz kuona majina ya waliochaguliwa. Kwa water resources and irrigation engineering na wale wa program za diploma
1 Reactions
1 Replies
6K Views
ubishi katika elimu, hivi ni nani anastahili kupewa cheti cha form four?(sio leaving) na je mtu kama alimaliza shule miaka ya 90 kurudi nyuma imean 90,89,88,........ anawezaje kujuwa matokeo yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada wakuu,kwa wale wa chuo cha usafirishaji NIT hivi waliochaguliwa diploma wanafungua lini na joining instructions zishatoka?? kwa wanaofahamu naomba mnisaidie,kuna mtu amechaguliwa hapo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
New
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda udom lakini hawajamwandikia anaenda kusoma course gani kule lakini kwenye maelezo yao kwenye website ya nacte wamesema unaweza kudownload form kupitia website...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
jamani chuo kikuu cha teofilo kisanji tayari kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa ngazi ya degree. vipi chuo hiki kipo vzuri???
0 Reactions
35 Replies
6K Views
NINA MDOGO WANGU BAADA MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALMU KUTOKA EMAIL YAKE IKAWA NA MATATIZO HIVYO AKASHINDWA KUPATA PASWORD ALIYO TUMIWA WAKATI WA KUTUMA MAOMBI HIVYO...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom