Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu. Kuna baadhi ya vyuo vinaanza usajili kesho,mfano Tumaini campus ya mbeya, na kwenye fee stracture yao wamesema tulipe kila kitu kuanzia tuition fees nk. wakati huo bodi ya mikopo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana JF naomba kuuliza hii coz ya human resource ina husu nin na chuo gan kipo vizur kwenye hii coz
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BREAKING NEWS BODI YA MIKOPO IMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI FORM 6 NA DIPLOMA WALIOKOSEA KUJAZA FORM ZA MIKOPO 2016/2017 DEADLINE YA KUFANYA MASAHIHISHO NI TAR 7/10/2016 TAFADHALI TUMA KWENYE...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Muuza matunda alikuwa na machungwa, peas na maembe. Baada ya kuuza baadhi, zilibaki peas 6 kwa kila machungwa 5 yaliyobaki na machungwa 7 kwa kila maembe 3 yaliyobaki. Aliuza machungwa 168. Idadi...
1 Reactions
33 Replies
13K Views
Nina ndugu yangu amechaguliwa kujiunga na chuo cha kilimo na mifugo tengeru arusha kwa kozi ya certificate in Animal health and production kupitia mfumo Wa NACTE Central admission system (CAS)...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
jamani kama utachaguliwa udsm katika campus yoyote nakuhitaji uje kwenye group la whatsup official kabisa UDSM 1ST YEAR 2016/2017 nichek kwa 0717349775 niku add faster...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Toka mwaka 1989 hadi 2000,chuo kilibadili Jina la chuo mara tano. Mwaka 2001, chuo kilisitisha kozi zote za ughaibuni ili kuzuia wenye vyeti feki. Wengi wanao soma pale digriii zao huchukua muda...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi... Pia samahani kwa wale mtakaokwazika na uzi huu. Hakika ni jambo lisilofichika kwamba kwa sasa hv watanzania wameamka na kufahamu umuhimu wa elimu kuliko kipindi chote toka...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana JF iv mzumbe wametoa selection
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale Wataalamu wa Kiswahili ningependa kupata msaada wenu juu ya swali hili: Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Mwananchi kuhusu kero ya ajira Tanzania. Jina lako ni KASHAIJA S.L.P 10...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nit vunjeni ukimya mtoe majina ya undergraduates mana hadi vingine vimeanza kutoa second round nyinyi first round hamtoi mnatuumiza vunjeni ukimya
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Anahitaji msaada wa kimawasiliano na uongozi wa chuo tajwa hapo kwenye title.Namba ya simu waliyoi-display kwenye profile yao haipatikani hivyo yeyote mwenye mawasiliano ya namba ya simu tofauti...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Jamani nilikuwa nataka kujua kama join instructions za vyuo vya mifugo
0 Reactions
28 Replies
9K Views
jamani wadau wa jf kwa wale waliochaguliwa ardhi majina mmeyaona wapi mbona Kwenye web yao hakuna kitu Kama icho.
0 Reactions
3 Replies
974 Views
Kwa yeyote aliepangiwa au anaesoma Eckernforde Tanga university naomba tujuane japokua tuko wachache
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wakati ndugu wana jf kumekuwa na kaugomvi mtaani kuhusu uteuzi kwenye vyuo vya selikari kati ya diploma na certificate programs naomba kufahamu kama waliochaguliwa diploma in primary(pre...
0 Reactions
4 Replies
923 Views
Habari za sa hivi wana jamvi, najua au nafahamu wapo watu wwngi ambao wameshaongea sana kuhusu diploma holders hakuna mapya mimi leo hii nataka niongezee tu, kama mnavofahamu sio watu wote...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali ya wanafunzi wa chuo cha taifa cha usafirishaji inatarajia kusimamia uchaguzi mkuu wa serikali hiyo kwa mwaka wa masomo 2016/17 huku changamoto kubwa kwa wanafunzi ikiwa ni mazingira...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom