Nimemaliza degree ya computer engineering Lakin moja ya ndoto zangu ni kuweza kupaisha ndege. Sasa nataka kujua kama Kuna chuo chochote cha urubani Tanzania kinachotoa walau short course za...
Habari zenu wanajamii,
Mimi ni mwalimu nilimaliza form six 2010 nikiwa na Physics S, chemistry S na Hesabu D.
Nilirisiti 2014 Physics na Chemistry nikapata PhysE na Chemi D,
Sasa je naweza...
Kwa wale waliopo chuoni mwaka wa 2, 3 na kuendelea... kipi bora kumbeba mwaka 2 au 3 au kuishi peke yako? UDSM alumni mtakuwa mnanielewa sana, nahitaji maoni yenu.
Habari wakuu.
nauliza kwamba nikichelewa kuripoti chuo wanaweza wakanirudisha? maana kwenye joining instruction wamesema *your chance is given for two weeks only* sasa nkiangalia direct cost ni...
Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilihitimu O level 2007 but sikufanya vizuri hivyo nikaamua 'kurisiti' mwaka 2009 na kituo changu cha mtihani kilkuwa Mbez Beach High school ila kusoma nikawa...
Habar ndugu zang, nmechagua course ya renewable energy technology ktk chuo cha DIT nilikua nauliza upatikanaji wa ajira na je hii course ntawezaje kujiajiri mm mwenywe...?? Naomba mawazo yenu
Habar ndugu zang, nmechagua course ya renewable energy technology ktk chuo cha DIT nilikua nauliza upatikanaji wa ajira na je hii course ntawezaje kujiajiri mm mwenywe...?? Naomba mawazo yenu
HABARI hv ukiwa umepata supplimentary bt kwenye kwenye corsework huna marks or ulipata zero.so hapa nini natakiwa nifanye.ili kuclear it.na sup umefanya but matokeo hayajabadilika
Bodi ya mkopo leo imetoa majina ya waombaji wa mwaka 2016/2017 waliokosea kwenye form zao na wengine watakiwa kufika kwenye ofisi za BODI hawa ni wale ambao hawakusaini kwenye fomu hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.