Nacte mmefunga mfumo kwa ajili ya uchaguzi tangu tarehe 15-9-2016 ni nini hasa kinawazuia kutoa majibu ya application zetu kwa takriban wiki mbili sasa kama sio uzembe?? Majibu ya haraka...
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi...
Wakuu tusaidiane kupeana mb mana tunamiez mitatu kila cku tunasaka tcu na nacte online ila majina ya vyuo ndio kimya mie narud kijijin hivyo mtanijulisha wakitoa majina...
Hivi TCU wanatuletea lini majibu yetu maana tumekaa vichwa vinatuuma kwa ajil ya hizo post. Kiukweli hawapo wazi katika mchakato wao wa uchaguzi inatakiwa watupe taarifa ya kutoa post tumechokaaa...
Jamani NACTE sytem closed mpaka lini.Time is almost gone watoto hawajui wamechaguliwa wapi!
Tired of this rubbish!
Kindly note that the system is closed to allow Processing/Analyzing received...
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa maendeleo ya vyuo vya serikali vinavyoheshimika katika utoaji wa taaluma ya sheria hapa nchini, na kwa mtazamo wangu nimegundua kuwa chuo cha uongozi wa mahakama cha...
Mimi ni mwanafunzi na ninatarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu,,,,je maisha ya huko chuo ni mazuri kwa kupanga au kuishi hostel? Na nini mbinu nzuri za kutumia boom vizuri bila kuwazia kukopa...
I copied it from some where, the African Proverbs;
1. When a man is stung by a bee, he does not destroy all beehives (Kenya)
2. The man who marries a beautiful woman, and the farmer who grows...
Wakuu.
Naomba mnisaidie namna ya kupata isbn kwa hapa Tanzania, pia naomba mnielimishe kuhusu umuhimu wa isbn katika uandishi wa vitabu.
Asanteni like.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.