Leo mkurugenz wa bodi ya mikopo alikua akihojiwa kua tcu ilishusha jpa kwa diploma had kwa 3.0 je ikitokea wamepangiwa chuo mikopo watapataje kwa maelezo yake akasema...
Wakuu mimi ni mhitimu wa shahada ya Maabara za afya (Health Laboratory Sciences),naomba kufahamishwa utaratibu utumikao kutuma maombi ya kujiunga na mafunzo kwa vitendo(internship) hasa kwa...
NAVIGATION
NOTICE TO LOAN APPLICANTS TO CORRECT NECESSARY INFORMATION
During the exercise of processing2016/2017 loan application forms, the Board has come across loan applications which are...
Karibuni wana jf..mimi napenda sana uongozi na nina ndoto siku moja nikifika chuo either nikiwa mwaka wa tatu au nne niwanie kuwa rais wa chuo,,,maana toka shule ya msingi hadi advance...
Heshima kwenu wakuu.......naomba mnisaidie kuhusu hii App ya thl.....kama ukifungua account ya huko thl App na pia ukilipia kwa mwezi au miezi....je..utakuwa una log in yaani kuitumia wakati...
Hello
Nilikua nauliza kama vyuo wanatoa Open days na tester days,lengo ni kumpa mwanafunzi uelewa wa course anayoitaka kufanya na wapi..??
Sio watu wanachagua somo, mwisho wanakuta sio passion...
Samahani wanandugu mm nimechaguliwa UDSM mechanical eng kw kuanza mwaka huu....ila yan sielwi chochote kuhusu fani hii,kwa kuangalia soko lake na pia changamoto ya hii kitu,na yani inahusu nn hasa...
Habari wana JF wote mnaosubira kwenda chuo....
wakati tunapofanya application za kwenda chuo hasa kwa wale wanaosoma course ambazo hazina ajira ya moja kwa moja . Nitajaribu kuoredhesha baadhi ya...
Kuna chuo cha Kigoma kinatoa certificate na diploma in meteorology. According to NACTE ni government sponsored.
Je ukimaliza ni ajira moja kwa moja? Na ukisoma certificate unaunga diploma hapo...
Habari za muda huu,
Ningependa kufahamu zinatoka lini selection za kuingia vyuoni kujiunga na bachelor degree, kwa wanafunzi waliopitia diploma(stashahada) mwaka huu
Kwenu wanajamvi!
Nina jamaa zangu wanahitaji vitabu vizuri vya somo la historia na Kiingereza kwa kidato cha II, III, IV, V na VI. Tafadhali mtu mwenye ufahamu mzuri atoe msaada wa mahali pa...
Habari wana Jamvi.
Nina mdogo wangu ana hizi marks kwenye matokeo yake ya FORM FOUR mwaka jana 2015.
Biology D
Chemistry D
Kiswahili C
Mengine yote ana F
Huyu dogo anataka kusoma mambo ya IT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.