Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nina GPA 2.8, accountancy, niliapply kabla new GPA haijawekwa ya 3.0, nyumbani wananiona sifai hadi ninatamani kujiua ninapenda kuendelea na elimu ila kadri siku zinavyoenda ninazidi kuwaza sana...
1 Reactions
7 Replies
906 Views
Nawaza vijana wakiitisha Maandamano kushinikiza haki sawa watakuwa wamekosea ama ni haki yao. Kwa maneno machache kabisa kama uzi unavyojieleza si haki kwa jinsi vijana wa diploma wanavyofanyiwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama kuna MTU anajua tofauti ya advanced diploma na ordinary diploma na tofauti ya miaka ya kusoma kwa alietoka 4m 6 aliepata 3 au 3 nayo asaiv kama 4m 4 tu kwa anaejua?????
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Natoa msaada weka namba yako ya o level nikupe majibu seehem uliyochaguliwa sasa hivi
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Mwenye center anayehitaji mwalimu wa history and geography
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Muda unazidi kuyoyoma na majibu hayapatikani. Ukiingia TCU wamekuandikia Provisionally Selected, ukiingia kwenye webs zao bado hakuna kilichowekwa. Sasa mimi niliomba physically MUM na nikapata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
2ND OCTOBER 2016 22:35:00 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
The University of Dodoma ingia kuchukua form yako...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba kujua kuhusu chuo hiki, nimechaguliwa kwa kozi ya diploma. kipo umbali gani kutoka mjini dodoma?, umbali wa hosteli hadi chuo? nk help please.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba mwenye uelewa na hii course ni nzuri au...... Na vipi upatikanaji wa ajira?
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Kuna ane fahamu kuhusu kozi za archaeology na anthropology pale udsm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu ,,Habarini .naombeni mnijuze kuhusiana na hawa TCU kuna mdogo angu alifanikiwa kupita katika round ya kwanza na akaambiwa asubiri confimation ya chuo lakini vyuo vyote alivyo jaza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Eeh wadau naomba niulize kwa wale ambao waliapply vyuo TCU na hawakuwa na sifa,, je kwenye profile yake inampa taarifa kuwa hana sifa?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jaman mbona Cwaelew vyuo vingine Bado avijatoamajina vingine vimesha tangaza tarehe za kuripoti chuo sasa au kunamnachojua zaid mnisaidie
1 Reactions
2 Replies
808 Views
Kwenye Bara letu la Africa watu wengi ni wafuasi wa dini mambo mengi kama uongo, uzinzi, tamaa wanavyokatazwa ndo sehemu ya maisha yao ya kila siku, sasa wanaendelea kufanya nini kama wanayoongea...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Habari zenu wanajamvi,napenda niwashauri wadogo zangu mnaoenda chuo mkawe na discipline ya fedha na nafikiri mmejionea hali halisi ya maisha huku mtaani ajira zimekua ngumu na mambo kadha wa kadha...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Naomben wanaJF mnifahamishe, Hivi hiki chuo kikuu cha MUM maombi yake hayapitii TCU? Nashangaa kuona wametoa second round ila vyuo vingine hata dalili havina.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninaenda kusoma BA in Economics and statistics je hii coz ina soko kweli and which carriers niexpect
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Leo siku ya walimu Duniani na Kali mbiu ya mwaka juu ni 'Kuwaenzi Walimu ni kuwapandisha hadhi hadhi yao'
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom