Nafasi za Kidato Cha Kwanza kwa wasichana: Westigate Girls
Westgate Girls ni shule ya wasichana ya bweni tu, shule imesajiliwa na wizara ya elimu kwa namba S.4948 iliyopo Kibaha Misugusugu...
Jaman tcu mlipandisha grade ili tufeli ila bado tukachomoa one zetu na two zetu nzuri tu sasa huu ujinga wa kutunyima vyuo na kutusubilisha hivyo second round mnamaanisha nini?[emoji16] [emoji16]...
Please msaada kwa yeyote mweny namba ya mkuu wa shule yoyote ya day/kutwa ya Advance yenye mchepuo wa PCM ama PCB iyopo Dar es salaam naomb anijulishe.. please please please
Kiukweli nimefurai sana kuona jina langu lipo kwenye list ya watakaosoma PRM chuo kikuu cha SAUT, hatimaye na mimi naenda nimepata furaha japo sijawai fika Mwanza, kwa undergraduate wenzangu...
Habari zenu hao TCU hawajafungua hiyo third round kama walivyokua wanasema?naombeni majibu coz hata hao wengine wanapata shida kuona vyuo walivyochaguliwa sijui hii nchi ikoje watu hadi...
Nina elimu ys form six nataka kusoms ualim diploma ya secondar lkn nadikia mwaka huu hakuna diploma ya secindar nimeshauriwa nichukue diploma ya msingi, kwahyo nikisoma hiyo diploma ya msingi...
Jamani naombeni msaada wenu, kwa mweyekujua jinsi ya kupata joining instruction ya chuo cha Bandari Dar es Salaam au kama umesoma hapo, au kuna mtu unamjua anasoma hapo msaada plz.
Sasa tunaingia kwenye profile had leo wanasema system Ina finalize selection try again tarehe 5/10/16 daah sasa nashangaa leo tarehe kimya vile vile, moyo wa chuma unaitajika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.