This is BULLSHIT. Nimeshangaa san kusikia kuna baadhi ya watu wanasimama na kuanza kuwatetea wale waalimu watatu waliomuadhibu yule mwanafunzi kule Mbeya.
Hivi watu tunajua wajibu wa Mwalimu ni...
Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University...
Kwa watu wote mnaofuatilia selected names kwa undergraduate courses hapo muhimbili tupeane updates. Muda sio rafiki tena.
Kwa ufupi, unafahamu nini kuhusu lini selected list from tcu ya watu wa...
Habari zenu naombeni kama kunamtu ana namba ya simu ya chuo cha tumaini darsalaam TUDARCO hapo ofisini kwao anipatie tafadhali ya simu ya mkononi na si yamezani nitashukuru sana.
[28/09/2015 22:10] ‪+255 768 260 834‬: HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO CHA MAJI UBUNGO-DIGRII 2015/2016 | MASWAYETU BLOG - HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI...
ladies and gentlemen, habari...
Ebana haka kapindi ni kagumu sana kwa mnaoripoti vyuoni.
sababu: watu wengi hupoteza vyeti na nyaraka muhimu kisa tu yupo fasta na usajili.
ushauri wangu, kuweni...
Unajua ugumu wa Chuo, unajua kuwa furaha yako usipokuwa makini itageuka kilio, unajua cku hiz chuon no bataz, unajua kuwa maisha ya Chuo ni full stress; usijar juhud, nidhamu ni silaha kwako ...
Wakuu habari ya jioni mi naomba msaaada kuhusu kuhama chuo pamoja na kozi uliyopangiwa kutoka private kwenda private je inawezekana kwa bachelor degree ???na kama ndivyo taratibu gani naweza...
Kuna tukio limetokea huko Mbeya, ni tukio la kusikitisha sana, yan mwanafunzi anachapwa viboko kama mwizi aisee ni hatariii sana, kama video ulikuwa hujaiona cheki kwenye link ifuatayo Twitter...
Naombeni kueleweshwa,NACTE kwenye profile yangu wameniambia nimechaguliwa arusha university kwa diploma,sasa naangalia majina ya waliochaguliwa pale sijioni mimi
waungwana naomba msaada kuhusu kufanya transfer kutoka chuo kimoja kwenda kingine
je garama inagharimu kias gani?
je inawezekana kubadili kozi uko unakokwenda?
kuomba tranfer ufanyika online au...
Ningependa kujua ni lini Nacte uwa wanatoa majibu ya kujiunga na vyuo vya afya
Mkuu soma taarifa hii hapa chini au tembelea wavuti wa NACTE
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA WA KUPOKEA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.