Selected Candidates for Bachelor Degree Programmes for 2016/2017 Academic Year
The following applicants have been selected to join various Bachelor Degree programmes offered by the Tanzania...
nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo wa majukumu ya awo watu tajwa hapo juu ukiachilia mbali tofauti yao kwa kiwango cha elimu itakuwa vyema nikipata maelezo ya tofauti yao hasa kwenye civil engineering
["]MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES - Candidates Selected for Admission into Degree and Diploma Programme 2016/2017 is good,have a look at it!
Ingia kwenye website yao wametoa majina ya first batch.
First Batch of Students Selected to Join Various Undergraduate programmes at Main Campus and Mbeya Campus College for Academic Year 2016/2017
Kwa yeyote mwenye taarifa ya chuo cha kilimo na mifugo cha IGABIRO-MULEBA. Basi naomba anipe detail zake kwa wanafunzi wa Cheti(certificate) kwa mwaka huu wanahitajika kuwa na vitu gani? sare zao...
Tatizo la ajira kwa watumishi katika mwaka tajwa inaonekana ni mfupa ulioishinda serikali ya JPM.Hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali iwe Mh.Rais mwenyewe au wasaidizi wake mwenye jibu la...
Wana bodi,
Kitendo cha wanafunzi kupigwa kinyama shule ya mbeya day pamoja na kuzua mijadara katika vyombo vya habari mimi nimekitazama kama aibu kubwa kwa kwa chuo kikuu cha dar es salaam...
Ninahitaji kumhamisha dogo toka shule moja ambayo nilimpeleka pale A'level (HGL) lkn shule haina walimu wa Georg na Language. Sasa natafuta shule bweni lkn ada isizidi 3 milioni mkoa wowote.
Kama wote tujuavyo habari inayotikisa vichwa vya habari kwa sasa ni kuhusu ile video inayoonyesha walimu wa field wakimshambulia mwanafunzi wa kidato cha 3 katika sekondari ya kutwa ya Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.