Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
naomba msaada kwa mtu anaye jua vzur mwenge univer mosh .tafadhar anipe brief
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Wadau, mimi nimemaliza form 6 mwaka huu nmesoma HGL na ndoto yangu ilikua ni kusoma LLB lakini kwa matokeo mabovu niliopata Div III.13 naona sitaweza kupata nafasi ya LLB, kuna mtu amenishauri...
0 Reactions
42 Replies
18K Views
Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM
7 Reactions
100 Replies
11K Views
Naomba kukifahamu chuo cha TIA Singida nimechakuliwa bachelor in accountancy
0 Reactions
0 Replies
4K Views
jamani ss tumesaulika sana yaan tumeomba vyuo mwz wa tano lkn selection bado y?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mdogo wangu kachaguliwa pale,civil and transportation engineering, anauliza,km kuna program ya masomo ys jion pale hasa kkwa coz yake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
L
0 Reactions
0 Replies
691 Views
NAULIZA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUFANYA TRANSFER YA CHUO KWA MWAKA WA PILI?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa nacte wanachowaza wao ni pesa 2............ Yaan pamoja na kutoa pesa zetu lkn bado wnafanya kazi kama hatutoi pesa Ukiwa ni mtanzania wa hali duni huwezi soma kwa kwel maana sekta ya elimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauliza UDOM walitoa majina ya waliochaguliwa kusoma bachelor degree 16/17 ??
0 Reactions
4 Replies
914 Views
THE UNIVERSITY OF DODOMA ONLINE ADMISSION LETTERS FOR ALL FIRST YEAR STUDENTS ACADEMIC YEAR 2016/2017 This is to kindly inform all selected student into various degree programmes that admission...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuuliza kama ninachokiona ni sawa au vp nina DEE but nimechaguliwa second round ya bachelor watakuwa wamekosea au?
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwa maelezo zaidi fatiliani majina ya vyuo yanayo endelea kutoka sasahivi watu walioomba kupitia nacte majina yao yamejumuishwa humo Mfano halisi angalieni majina ya udsm awamu ya pili wapo...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa walio omba university of iringa, second sellection imetoka. Wapitie website ya chuo kucheki majina yao. www.uoi.ac.tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jmani nauliza hv second round majina yametota?kwenye campus ya mwanza au bdo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna vijana niliwasaidia kuomba vyuo vya afya kupitia NACTE, mmoja aliomba nursing na alichaguliwa katika second selection na kuthibitishwa kuwa anaenda chuo fulani(sitaki nikitaje) lakini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kueleweshwa,maana ya ordinary diploma in primary education(in service) na ordinary diploma in primary education (pre service)
0 Reactions
1 Replies
482 Views
UDOM - ALIS Login Admission letter zmetolewa rasmi leo #click link hyo [emoji115][emoji115]kujipatia required documents zote nne
0 Reactions
1 Replies
905 Views
mwenye joining instruction aweke apa
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman wadau nisaidieni kwa ushauri kuhusu sisi tulio apply direct chuoni (UDOM) kwa diploma, ni mwezi wa 3 sasa hawajatujibu mpaka leo je wametusahau au ndo habari yetu imeisha??
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom