Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba mnisaidie majina ya walio chaguliwa kampala university (KIU) second round na wenye link ya Stella Maris ya Mtwara.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam ndg zangu, Jaman naomba kusaidiwa hivi ni course gani ya (Masters) iliyo marketable anayoweza soma MTU aliye na first degree ya Elim(BAED) Note:ZILIZO NDANI YA FIELD YA EDUCATION AU HATA...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
KUNA MDOGO WANGU AMECHAGULIWA KUSOMA BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN INSURANCE AND RISK MANAGEMENT CHUO CHA IFM JE AKIMALIZA ANAWEZA FANYA KAZI KAMA NANI? HII KOZI INA MANUFAA? NA ANAWEZA SOMA...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Nina mdogo wangu alimaliza form mwaka juzi akawa amepata four. Nikampeleka chuo kusomea certificate bahati hakufanikiwa kumaliza sababu ya kuugua. Mwaka huu nataka nimrudishe chuo nimeangalia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii, nimefanya uchunguzi na kugundua kuwa wengi wa wanafunzi wa kidato cha 4 na 6. wanaofanya mtihani wa elimu ya dini ya kiislamu(EDK) final! wanafeli sana, ukilinganisha na wale...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
Habari za saa hizi wandugu! Samahani, naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo kozi tajwa hapo juu! Kozi hii ni moja ya kozi ambayo hutolewa na Chuo cha Diplomasia Dar, es salaam kwa ngazi tofauti...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa anae kijua chuo cha mwalim jk Nyerere campus ya dar maeneo ya kigamboni kina hosteli?????naonbeni kwa anae kujua an I Julishe
0 Reactions
4 Replies
648 Views
Naomba kujua tofauti kati ya Financial administration/management And Accounting kwa wenye kuelewa tafadhali
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Wakuu a.aleykum Selection za chuo zimetoka nimepata computer science ifm,kwangu naona sawa kwa sababu ya kukua kwa teknolojia hivyo demand ya wataalamu itaongezeka,tatizo napata upingamizi mkubwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Round 2 UDSM imetoka, Source: nenda kwenye website www.udsm.ac.tz Kisha angalia Announcements
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Eti nitapata chuo kweli? Kila nikiingia kwny profile naona hivi
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mwenye ulewa wa PGDE kozi anifahamishe kidogo.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Angalia www.saut.ac.tz
0 Reactions
4 Replies
2K Views
First round watu wamekosa nafasi katika vyuo walivyoomba... Hao waliokosa nafasi first round wakapewa nafasi ya kufanya tena application round ya pili... Lakini leo hii vyuo vinatoa majina ya...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
deleted samahan mods naona hamjatuwekea option ya kufutahapa nimejiongeza
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Tembelea www.makumira.ac.tz www.uoa.ac.tz kwa taarifa na msaada zaidi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi Naomba msaada kujua mchakato mzima wa program hii. Kuanzia ugumu/urahisi wake na je ajira zake baada ya kumaliza masomo na upatikanaji wake. Natanguliza shukraan
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MBONA BATCH WALIOTOA HESLB HAIFUNGUKI?
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom