Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jaman habarini za jioni samahani kama kuna yeyote aliyefanikiwa kuyadownload majina ya degree mwaka 2016/2017 aniPM Nimpe namba angu anitumie whatsup kozi asaiv kwenye simu yangu inandika not...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SUA
Kuna aliyeomba SUA second round hum
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini Wana Jamvi Naomba ushauri/maono kuhusiana na suala lifuatalo; mimi nimechaguliwa chuo kimoja hapa Zanzibar lakini kwa sababu zangu zilizo nje ya uwezo wangu nataka nibadilishe. Natakiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wale mnao subir second selection TCU jaribuni kufatilia majina yenu kwenye vyuo vinavyoendelea kutoa majina mfano chuo cha saut Tabora hakikua kimetoa first selection lakin kimetoa first batch...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Ndugu wana jf naomba kuuluza hivi baada ya kuwa umechaguliwa umeanza kozi kazi ya profile ni nini au ndio inasha kazi yake
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu naamini kunawatu bado hawamwogopi kabisaa Magufuri. Wakati nchi nzima wakilipwa hela ya likizo kwa walimu walioenda likizo mwezi Juni. Lkn mambo ni tofauti kwa walimu wa Ileje...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba maelekezo ya namna Admission letters za UDSM nitazipataje...na je hakuna sehemu ya kuzidownload jamaniiii...!???
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama umesoma SUA tafadhali pitia hapa usemi lolote kuhusu ajira na mengineyo
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Presha iko juu nisaidieni, wapi second round ya ruaha, mwenge na iringa university?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A: TECHNICIAN CERTIFICATE IN COMMUNITY DEVELOPMENT IN BUILDING AND CIVIL ENGINEERING CHUO CHA MABUGHAI COMMUNITY DEVELOPMENT TECHNICAL TANGA. B: TECHNICIAN CERTIFICATE IN CIVIL ENGINEERING AND...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari Mpaka sasa nacte kutokutoa selection wala kutokuwepo kwa taarifa yeyote elekezi ni kama kuonea wanafunzi kwa sababu kuna maandalizi yanayotakiwa yafanyike na wanaotarajia kujiunga na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza mwaka huu form six, nilichaguliwa first selection. Kwenye uchaguzi wa vyuo nilijaza vitatu hadi sasa viwili tayari na jina langu halipo, kimebakia NIT ndo chuo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Chuo cha cha mwalim jk Nyerere campus ya dar kina hosteli
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Mzumbe mbona hawatoi majina au ndo kusoma mpka mwakani,????
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari njema kwa vijana wote wa diploma, ukiangalia profile yako utakuta ipo vile vile kama ulivyo maliza kuaapply lakini kama maombi yako tayari yameshafanyiwa kazi chuo kinakutumia email ya...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa,kama kuna mtu anafaham tarehe ya kuripoti saut mwanza anifahamishe tafadhali
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Jaman msaada kwa anaejua hii kozi, ukisoma unakua nan naa unaajiriwa wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ingia kwenye website yao au tuma jina nikuangalizie
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada kwa anae jua location ya hiki chuo mahali kwa upande wa arusha jamani Wana jf
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Wenzangu na mimi wa Archbishop James University College, Municipal Campus tukutane hapa tupeane ABC juu ya chuo chetu.
0 Reactions
4 Replies
841 Views
Back
Top Bottom