Juzi nilitembelea ofisi ya afisa elimu wa mkoa na kuhuliza lini ajira uwalimu ztatoka,alinijibu kuwa tutegemee mwezi wa kumi na moja au wa kumi na mbili mwanzoni ili watu waripoti mwakani mwezi...
Jamani kwa wanafunzi wale waliochaguliwa ktk vyuo ambavyo c chaguo lako unaweza kuhama cha kuzingatia ni kuwahi ktk chuo ukipendacho ili mradi tu iwe chuo cha private. Pia unaweza kubadilisha na kozi.
Walimu katili waibua mazito
MUUNGWANA BLOG / 2 hours ago
WANAFUNZI wanne wa ualimu waliomfanyia ukatili wa kumchapa fimbo na kumpiga makofi mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya...
Mwanzoni nilipofeli kidato cha nne mwaka wa majanga 2012 nilihisi ndo mwisho wa kuiona degree kutokana na maneno ya kukatishana tamaa kutoka kwa baadhi ya ndugu na ukilinganisha wanafunzi wengi...
Tunaomba majina ya waliochaguliwa DEGREE kwenye vyuo hivi., nimegaragara vya kutosha sana sijaona majina kwenye vyuo hivi mwenye nayo atuangushie Link tafadhali.
Matumbo karibu yanauma pembe zote.
Wakuu hivi tarehe ya kuripoti saut ni lini maana kwenye website yao Kuna joining instruction form ilitolewa mwezi wa 8 na inasema kuripot ni tarehe 3/10 sasa na majina yametoka trh 5 sasa...
Habari wanaJF. Nahisi kuchanganyikiwa kuanzia jana... Baada ya MUM kupeleka majina TCU, hata jina langu lipo kwenye list ya wanafunzi wapya. Lakini TCU wenyewe washanipangia chuo kingine, sasa...
Mwalimu wangu ameniita leo, ameniambia anataka tuzungumze mawili matatu kuhusu mustakabali wa elimu yetu. Hivi najiuliza sijui niende ama nisiende manaake sijui huyu mzee na elimu yake ya UPE...
Wadau nisaidieni katika ili
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nakuchua Diploma ya C.O ktk private college , kutoka na gharama mi kubwa sana nahisi...
Wanajukwaa mambo yamekuwa ovyo sielewi cha kufanya,nilipata ajira mpya hz za juzi za ualimu,nina shahada. Sasa juzi wakati wa kupokea hela ya kujikimu nikakuta jina langu halipo kwenye list ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.