Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wahitimu wa kidato cha sita, nachukua fulsa hii kuwapongeza kwa kuchaguliwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali ndani na nje ya nchi ya nchi. Nianze barua yangu kwa kuzungumzia changamoto za...
12 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu! Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia nataka unibebe tuchangie hostel, ina maana itakua tunalala kitanda kimoja au ananunua godoro lake, anashusha chini analala? Au ni Vipi, kwa sababu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Hhhhhh
0 Reactions
9 Replies
936 Views
1. Kuongezeka kwa vibaka na wizi mtaani. 2. Uchumi kuwa palepale. Maana kheri kuwa na wasomi wengi hata kama hawana kazi watajiajiri na kuweza kulipa kakipato kama kodi kwa serikali. 3...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
kama umechaguliwa Mzumbe University, hii ni nafasi ya kukutana na wenzio katika group la WhatsApp. Admin anapatikana kwa namba 0712586027, tutakuwa pamoja chuoni hapo mi nikiwa kaka yenu wa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Msaada,jamani nawezaje kupata joining instructions ya chuo cha saut Arusha centre.au kama wana website yao mana mi sijaona kwa mtandao ipo web ya saut main campus pek ake.nifanyeje au nipate vp...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*UMOJA WA VIJANA WANAOSUBIRIA AJIRA (UVITA)* Tumekuwa tukidharaulika sana mitaani kwa kukosa *ajira* lakini pia kwa kuswema vibaya kuwa sisi ni wazembe kwanini hatujishughulishi na mambo mengi ya...
11 Reactions
87 Replies
15K Views
Habari za humu ndani wakuu, Naomba kujuzwa kwa mtu anaetamani kusoma coz ya flight attendant ngazi ya certificate anatakiwa kuwa na ufaulu upi na wa masomo yapi? Pia chuo kipi ni best kwa kozi hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nna rafiki yangu ambaye mimi ni kama kaka yangu wa mtaa amehustle kutoka o level mpaka A level kwakua hana mtu yeyote wa kumtegemea kajisomesha kwa bodaboda wiki shule wiki mtaani o level alifail...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuuu habari za mida... eti kama mtu alifahuru 4m 4m na akaferi 4m 6 vp anaweza kujiunga na diploma au mpka anza cirtificate
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Eti wakuu unaezaje kujiajir endapo umepiga coz ya uhasibu msaada wakuu[emoji310] [emoji310] [emoji310]
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naombeni kuuliza jamani, Niliomba nafasi ya chuo kwa round ya pili, sasa ukitaka kujua kama umechaguliwa unafanyaje maana sielewi, alafu niko mkoa kijijini, hapa Leo nimekuja mjini internet cafe...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Iv inakuaje naambiwa sijaaply mkopo mwaka uu Wakat nakala za fom ninazo ?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
nimechaguliwa hapa nikagonge Bachelor of Arts in Mass Communication aisee sjui hata jinsi ya kuanza anza. Aliye hapa au anayetambua mambo mengi yanayohusu mass com ulaini na ugumu wake naomba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Land valuation inalipa kwa sasa?. Karibun
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanabodi naombeni ushauri nifanyeje coz first round nilikosa na second vyuo vyote nilivyoomba nmekosa kmebak kimoja RUCO HV nisipochaguliwa kuna third round?au niende direct vyuon kuomba
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Zipo sababu Nyingi unaweza kutumia kupima Ubora wa kitu Lakini kikubwa ni Kwamba Kifit Preferences Nyingi za kuweza kuitwa Bora and UDOM Fits most of those Preferences!! 1.MAHALI(LOCALITY) Kipo...
11 Reactions
190 Replies
20K Views
Umechaguliwa Machame kwa kozi hiyo hapo juu karibu tujuzane yanayotuhusu
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Back
Top Bottom