Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu salaam, mdogo wangu amechaguliwa chuo ambacho ni chaguo lake la mwisho, je kuna uwezekano wa yeye kuhama chuo? Na je kama upo utaratibu wake unakuwaje?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Vipi wadau naweza soma degree open university of Tanzania baada ya kumaliza, Naweza kujiunga masters na vyuo vikuu ambavyo sio open. Na je ni GPA zipi? Zinatakiwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wasomi, jana tarehe 10 wengi wetu tulitumiwa ujumbe na tcu kwenye profile zetu unaosema , you have been provisionally selected and the program selection shall be final when the...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ikiwa Leo juma 5 alafu chakula cha usiku nikala sa 6 usiku apo niite nimekula Leo au nimekula kesho??? Na kama nimekula Leo kivp Wakat chakula kilikua Nile juma 5 kwa nini nisiseme nimekula kesho...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama wewe umechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha St. John's University of Tanzania (Mazengo campus) naomba tuwasiliane ninahabari njema kwako
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Kuna ndugu yangu anasoma Tumaini University of Iringa anaingia second year sasa kakwama ada anajiuliza atawezaje kupata sponsorship ili aweze endelea kusoma. Wadau mtusaidie
1 Reactions
3 Replies
903 Views
Mwenye link ya selection Za hubert kairuki first na 2 selection anitumie plz
0 Reactions
4 Replies
848 Views
Hivi kati ya kwenda JKT kama njia ya kuingia jeshi, au kusubiri post za ualimu kipi bora kwa mtazamo wako? Maoni tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu Katika mishe mishe zangu nimepita chuo kimoja cha afya nikashangaa kuona jezi mpya kabisa nilipoulizia nikaambiwa hiyo ni coz mpya ya afya inaitwa COMMUNITY HEALTH lakini sikupata detail za...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Deleted samahan mods makosa ni yenu hamruhusu watu tufute post hapa nimejiongeza
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman wale wa diploma waliomba nacte to barchelor vip jaman kuna aliepata chuo au ndo kusubiria adi now??
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Wanajamvi! Tuanzie Ardhi University: Kuna Programme inaitwa Bsc in Information Systems Management. Ni program ya miaka 3. Sifa za kupata: Two principal leve passes (minimum 4 points) in any of...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
List of Selected Students to Join Doctor of Medicine Programme List of Selected Students to Join Bachelor of science in Optometry List of Selected Students to Join Bachelor of science in Health...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini Wakuu, Naomba kujuzwa pale watakapotangaza second selection ya wanafunzi walioapply. Shukraan.
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi kama umepangiwa chuo na unatakiwa kureport hivi karibuni lakini mkopo bado haujatoka na hauna uhakika kama utapata. Ada ya chuo inakuaje, unalipa yote au kuna utaratibu wa kusubiri mkopo.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ni muda walimu kuisoma namba, ona walichofanyiwa walimu na wanakijiji baada ya serikali ya wanyonge kuwaaaminisha wanyonge kuwa walimu ni wabaya wa watoto wao. Tusubiri kuona wanafunzi nao...
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Wamesha update aris ili uweze kupata Joining Instructions na Documents mbalimbali za kujiunga na chuo link hii hapa http://aris.mzumbe.ac.tz:8080/login Username yako ni Index No ya F4 Password...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Je Kuna diploma holder yeyote aliyeapply nacte mwez wa Tatu ambaye profile Lake linasema kachaguliwa chuo gani mana Jana sa tano ucku ndio profile Za diploma holder...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Kwa aliye pata joining instructiong udom anijuze first year wanaanza kuripot tarehe ngapi maana naona tangazo lao kwenye UDOM Alis linasomeka hivi[emoji116] [emoji116]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom