Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wadau ndani ya jf, kama title inavyojieleza naomba msaada wa ufafanuzi juu ya tofauti ya njia/namna nilizoziandika hapo juu kuhusu usomaji wa shahada ya pili. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za humu wakuu??, naomba kuuliza kwa wenye ufahamu kuhusu Bachelor of eng in COMPUTER kwa pale DIT kama kuna evening classess. aksanteni sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, Naombeni ushauri kuhusu course ya pharmaceutical science maana kuna watu wengi baadhi wanasema ni course ambayo hainaga dili kabisa wanadai bora kusomea ualimu tu na sio hii...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina mtt wangu wa kike pale nyumbani Mwenge na anasoma day ,naomba kwa mwalimu ambaye tunaweza kuelewana malipo ya mwezi ani PIN Sifa Mwalimu mwenye sifa angalau katika masomo 3 Muda masaa 3...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
habari zenu wakuu!!! nashindwa kuelewa hiki chuo kina sifa zote kinachopewa? mpaka sasa wahitimu wake(diploma) wa kozi za civil, mining na laboratory technology hawaoni matokeo yao kwenye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekamilisha zoezi la kurekebisha fomu za maombi ya mikopo kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Zoezi hilo lilianza tarehe 3 na...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Jaman ardhi hawajatoa second round?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeandikiwa ivi inamaanisha nini wadau, nimemaliza diploma na GPA ya 3.4
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwa wanao vijua hivi vyuo viwili DIT na MUST heb tunaomba mtujulishe mwaka wa masomo 2016/17 unaanza lini ili tusijichoshe sana kusubir selection kumbe kitu ni mwezi huu mwishoni...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Majina ya walio chaguliwa kujiunga na dit 2016/2017
0 Reactions
13 Replies
1K Views
hellow, kama unaish kitunda shule au maeneo ya jirani na bado unasugua benchi lakini unao uwezo wa kufundisha masomo ya sekondari na msingi tukutane tuanzishe tuisheni, ili tusikose hata hela ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
/ATTACH]Naomba kufaham kiasi cha hela mtu anachotakiwa kulipia bank kabla boom alijalipwa kwa Bachelor ya Pharmacy
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Utaratibu ukoje sikuhizi kama nataka kurudia masomo ya sekondari? Naweza kurudia masomo mawili au utaratibu ukoje kwa sasa?. Msaada jamani.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natanguliza heshima. Naomba kufahamu yafuatayo huko chuoni. Nimechaguliwa sua ila wasisi wangu ni hivi. 1:boom inakuaje kabla sjapata mkopo na je nkikosa mkopo boom ntapata? 2:inakuwaje kureport...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba kujua tofauti za kitaalamu ya hizi course katika Teaching content na kitu ambacho mtu anakua anaandaliwa kuwa(speciality). Bachelor of Science Education Bachelor of science with Education...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nikiwa kama mwalimu mwanafunzi wa UDSM roho inaniuma pale mwalimu anapojulikana kafanya kosa lakini apewi nafasi ya kujitetea kwa nini kafanya kosa na anahukumiwa moja kwa moja au kushushwa cheo...
17 Reactions
127 Replies
9K Views
mbona account yangu haifunguki kwa sasa
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekamilisha zoezi la kurekebisha fomu za maombi ya mikopo kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Zoezi hilo lilianza tarehe 3 na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu ndiye mwanamke pekee Afrika Mashariki mwenye masters degree 7
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom