Jamani wapendwa naombeni munisaidie kufahamu zaidi kuhusu ajira za computer science and engineering kwa hapa Tanzania na nje za nchi naomba ujuzi pia nimepangiwa kusoma hiyo facuty, je nikasome...
Heshima kwenu wadau, naomba kujua kwa yeyote anaeifahamu shule hiyo ya Sec Uparo anipe wasifu wake kidogo, ipo sehemu gani, je ipo karibu na kisenta chochote au ni ndani ndani, mandhari yake...
Chonde chonde walimu naona technolojia hii sasa itatutoa ktk ethics za ualimu.
Clip hapo chini ya wanafunzi waliokutwa na Bangi na Viroba wakati wa masomo.
Walimu wamerecord na kuirusha hewani...
Wapendwa;
Nawasalimu nyote ::
Lengo la kuanzisha Uzi huu ni "Kutaka kufahamiana na kupeana taarifa mbali mbali kwa wanafunz waliochaguliwa chuo kikuu cha bugando 2016/2017
Nimeona ni jambo jema...
1.Nilitaka kufaahamu je kwa mtu ambae ni mtumishi wa serikali Ambae ulikuwa unasoma chuo na afu alikuwa mnufaika wa mkopo wa ELIMU YA JUU sasa akatokea AMEDISCONUE kuendelea na chuo je anaweza...
Kurudia mtihani kuna ugumu wowote na vipingamiz vyovyote ambavyo vitakufanya ucperform fresh je mnaushauri mtu kurudia mtihani kwa 4m 6 msaada kwa anaejua?
Hello, anayeelewa jinsi ya kuomba masters zinazotangazwa na nchi zilizoendelea anisaidie plzzz.
vigezo vyote ninavyo kwa ajili ya masters 2017/2018 na nimeona application nyingi zinafungwa october.
Kuna mdogo wangu kachaguliwa hizo course mbili lakn vp kuhusu solo la ajira la environmental health scientists, wanaajiriwa direct serikalini au hadi nafasi itokee?
Wanafunzi wa shule ya msingi Nakatete, iliyopo halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wanalazimika kusomea chini ya miti ya mikorosho kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa unaoikabili...
Habari wandugu!
Naulizia kama selections za Bachelor pale DIT kwa mwaka huu zimeshatoka.
Kwenye website yao hakuna, ila naona kuna watu wana info tayari.
Mtu yeyote mwenye info juu ya selection...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.