Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tumetengeneza group whatsaap sasa lengo nikujuzana na kuhabarishana mambo mbali mbali hasa kuhusu Selection na Mengine yahusuyo Elimu na Vyuo hususani chuo cha UDOM Kama unahiitaji cheki hapa...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Hello...people....hivi eti kwa UDOM second round.....tayari imeshatoka????? If yes mweny info aweke link
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Haijalishi umesoma kiasi gani lakini mafanikio katika maisha ni vile wewe mwenyewe unanidhamu kiasi gani maana kuna watu wengi waliofanikiwa na hawajapitia au hawakua wakifanya vizuri...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
naomba kujuzwa kuhusu kozi ya enviromental science and management je iko poa ama, na vipi kuhusu ajira zake
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university Au ndo maana wanakiita cha kata
0 Reactions
113 Replies
11K Views
Kichwa kimejitosheleza
0 Reactions
3 Replies
888 Views
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Wakuu habari zenu, Nikuwa selected UDSM kwenye provisionally results by TCU course ni enviroment and Geography studies na nilijaza first round hii caurse, Second round hawakuitolea majibu hii...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
inauma sana aiseee..... kilq siku account kwenye chet kunajiandika update..... na chuo watu tumekosa ... tukaamua kwenda nacte jana but jibu lililokuja aiseee unakata tamaaa... eti matokeo...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Kwa wale walioomba Mwenge Catholic University selection zimetolewa mida hii.Tembeleeni website ya chuo mtaona majina yenu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwenye account yang wameniandikia provisionally selected, huku vyuo nilioomba cjaona jina langu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada, Kuna hiki chuo cha National Institute of Transport mpaka leo bado hakijatoa majina ya first degree waliochaguliwa kuingia pale kwa mwaka 2016/2017 na me na hisi...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
habari . round ya 1 nilikosa .round ya 2 niliomba TCU halaf nikafuta program zote kwenye profile yang .nikaomba MUM direct chuon bila kupitia TCU. ss hv nikiangalia profile Yang TCU nimeandikiw...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Hatimaye bodi ya Mikopo imeweka mambo hadharani baada ya kimya cha muda mrefu TAARIFA KWA WAOMBAJI WA MIKOPO KUHUSU KUMALIZIKA KWA ZOEZI LA KUREKEBISHA TAARIFA ZA WAOMBAJI Bodi ya Mikopo ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi!naombeni kujuzwa kisheria Mwalimu wa msingi au sekondari anawajibika kufundisha vipindi visivyo pungua vingapi kwa wiki?
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Eti jamani, waliosoma Diploma nao wakikosa chuo kuna kuomba tena? Au wakikosa ndio basi tena?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza hivi tuna Tanzania Education Regulatory Authority iweze kusimamia na kuboresha sekta ya elimu.Shule za English medium wanajipangia tu kiasi cha karo bila kujali hali halisi ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ndg zanguni? kichwa kinajieleza vyema.
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Wadau nimesikia eti leo asubuhi body imeachia baadh ya majina ya watu walio pata mkopo. Kwa wataalam wa heslb tuambieni ukweli.. Na kma ni kweli naombeni proces za kuingia kwenye body pg ili nami...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa,kwa msaada wangu na wengine pia,naomba msaada kwa anaye kifahamu chuo hiki cha IAA,hasa kwa upande wa accomodation.Vipi hoster zao unapataje,bei yake,ni kweli maisha ya Arusha...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Back
Top Bottom