Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
kupata updates za chuo na maelezo mengine meeengi, karibuni sana UDOM hop hamtajuta kuchagua UDOM
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam wana forum..Kuna ndugu yetu alipata div 3 kidato cha sita hivo kukosa sifa za kuendelea na chuo hivo ikabidi atumie cheti cha form four ambapo alipata div 1 kuomba diploma ya engineering na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uteuzi huo umehusisha baadhi tu ya colleges, college kama health science bado ingia kwenye website yao sasa!!!!!!!
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Je kuna mazingira ambayo yanaweza kupelekea nacte wakajumlisha GPA za NTA level 5 na 6 ili waweze kupata cumulative GPA za mtu kwenda bachelor? Nasema hivi coz kuna habari alizipata ndugu yangu...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Niko na degree ya BCOM(in Accounting) na Advanced diploma in taxation. Now nataka kusoma Masters mwakani. Je ni master ipi bora based on my past academics?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua hizi programme za bachelor of science in physics, chemistry or biology zinahusika na nini hasa je ni sawa na education?
0 Reactions
8 Replies
954 Views
Habar wana jf kuna mtu yeyote alieapply centre of foreign relations na hajaona jina lake mpaka sasa na amewasiliana na Tcu labda kwasababu mi nimechoka kusubir
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada kuhusiana na hiyo coarse ya hapo juu, nimechaguliwa UDOM VP hiyo coarse wadau ipo Marketing, naombeni ushauri wenu wadau!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Vijana wengi tunajiuna na vyuo vikuu kusoma engineering sababu ya nchi ya viwanda na wengi wetu tumekimbilia: Industrial Civil Electrical Agriculture and nk, Swali: Je tupo sawa kwa 100%?? Na...
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Wana JF naomba mnisaidie contacts za uongozi wa UDOM
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Pakua hapo chini
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu hii fani ya software eng kwa anaye ijua vizuri hususan kwenye kaz zake niliomba electrical dit na software udom sasa dit sjachaguliwa hvo nasubiri second...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomb msaada nmechaguliwa dodoma nataka nihame niende Chuo kingne mfano IFM, NIT, DIT. Naenda Courses computer science nilichaguliwa Bachelar of science in information technology =======...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii ni taarifa kwa wale ambao wanahitaji kuhama kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine kwa wale undergraduate first year taarifa ipo hapa
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Haiwezekani kumwambia mtu hajameet vigezo 1st round baadae huyo mtu anaapply for 2nd round na baada ya majibu ya 2nd round kutoka anakuta kachaguliwa coz aliyoapply 1st round.Next time kuweni makini.
0 Reactions
2 Replies
667 Views
kwa first year wote waliochaguliwa udom-college of informatics and virtual education (CIVE) 2016/2017 tukutane hapa uliza swali lolote utajibiwa! karibuni sana na hongereni sana kwa kuchaguliwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
hello wadau....mimi nimechaguliwa hii course... naomba kujuzwa mambo mbalimbali kuhusu hii course..... ili niweze jua nitajipangaje
0 Reactions
17 Replies
9K Views
kwawale wa udom ivi kuna mtu aliyeipata admissio letter na ni kwanjia gani tusaidiane tuambine uku jf uko whatsapp kwenye ayo magrupu wengi simu zetu azina uwezo tupeane taarifa kwa wote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani nauliza hivi udom second round zinatoka link?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunaendelea kumark supplementary examination hivo tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza samahani lakin nataka niangalie views zitakuwa ngapi kwenye huu uzi NB- USICOMMENT CHOCHOTE...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom