Naamini humu kuna wenzetu wametutangulia katika viwango vya elimu ...hivyo basi Naomba mtusaidie ni vitu gani huwafanya au kuwachochea vijana wengi wanapo ingia chuoni kubadilika na kujiingiza...
Wadau mpooo. Nina smartphone kila nikitaka kudownload application kwenye play store naletewa Ujumbe huu "Authentification is required. You need to sign into your Google account."
What should I do...
*BIBLIA INA VITABU 66,SASA CHUKUA 66 TOA UMRI WAKO KISHA JUMLISHA 50 ...UTAPATA MWAKA WAKO WA KUZALIWA....*
*#JINA LA BWANA LIPEWE SIFA*
Naombeni kueleweshwa kuhusu logic ilotumika hapo juu...
nikiingia kwenye account yangu naambiwa "didn't apply higher education students loan board 2016/17 sasa Kama sikuomba nawezaje kulog in kwenye account Yangu mwenye uelewa na ili anisaidie plz.
Waungwana, nawasalimu.
Naomba msaada ndugu zangu mwenye admission letter za mzumbe 2016/2017 especially Mbeya campus anisaidie. Au mwenye kufahamu chuo kinafunguliwa lini na first year wanaanza...
ingia TCU cas then ingia view provision result for2016/17 then search kwa form4 au form6 index namba au namba ya simu
TCU CAS | View Provisional Results
Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu au ambaye alishawah kuhamia chuo kingine inakuweje mana ikitokea chuo unachotaka kuhamia kinafungua tarehe Za mwez wa kumi na moja, afu...
jamani naombeni ushauri wenu, degree ya kwanza nimesoma Bchelor of tourism management, na kwasasa nina plan ya kusoma master of project management pale open university of Tanzania, vp ndugu zangu...
Juzi tu serikali ilitoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhisiwa kupokea wanafunzi na Chuo cha hurbert Kairuki kilikuwepo,lakni nashangaa majina ya waliochaguliwa Kairuki yametoka,yaani hii sirikali...
Naomba kuuliza kwa wenyeji wa SUA, ili mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa shahada aruhusiwe kufanya registration ni lazima alipe sh. ngapi? Nauliza hivyo kwa sababu pesa ya kulipa tuition fees sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.