Wanajamvi, kama kuna mtu mwenye kufaham juu ya chuo hiki tafadhali nahtaji msaada,
Nipo Dar sasa ila
Nimechaguliwa hapo.
Kwenye web sikipati,simfaham yeyote alichaguliwa hapo na sina hata info...
Nianze kwa kukupongeza mdogo wangu uliyepata chuo bora kuliko vyote Tanzania.
Naamini ni juhudi zako pamoja na Neema za Mungu upo hapo.
mlimani chuo kizuri sana LAKINI umakini mkubwa sana...
Nina mtoto wa ndugu yangu ni mlemavu anasubiria kupangiwa chuo hadi sasa bado ikishindikana kabisa tunataka akasome urusi kusema kweli inatuhuzunisha sana maana anahitaji uangalizi wa karibu...
Licha ya NACTE kuruhusu udahili kwa mara ya tatu kupitia CAS lakini kuna uwezekano mkubwa kwa waliohitimu Diploma kwenye vyuo vya mifugo Tanzania (vilivyo chini ya LITA) kukosa fursa ya udahili...
Wakuu habari zenu,niliapply ardhi municipal and industrial service eng nimepata DDE pcm wamenitema halafu ukiangalia bado haijajaa maana ipo katika course za second round na wao vigezo vyao ni...
KUKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KUPITIA MITANDAO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa imetangaza sifa...
Wanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
Naomba kwa anaejua hili anisaidie....
1. Nina mdogo wangu kapangwa chuo cha st Joseph kusomea MD...
Fees ni zaidi ya million 6 kwa mwaka...
Je..akipata 100% kutoka HESLB inamaana hiyo yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.