Napenda kujua hili, kwa aliyeaahirisha chuo mwaka 2015, na alikuwa hana mkopo, lakini mwaka huu kaomba, je kuna uwezekano wa huyo mtu kupata mkopo bila usumbufu??
Habari wana jf! OK, Mimi ni diploma holder niliaply shahada ya elimu, profile ilionesha nimechaguliwa katika moja ya machaguo (5) Ila nisubili chuo husika kini confirm.
jana nikacheki nikawa...
Wakuu kwa yule ambaye amepangiwa SUA Main campass na hataki kukaa hosteli kuna habari njemaa.
Kuna chumba kinauzwa na vitu vyote ndani, yaani wewe unakuja na begi lako la nguo tu. Baada ya mimi...
10) Ellen Johnson Sirleaf (Liberia)
Elimu: Master of Public Administration (M.P.Adm.), Bachelor of Economics (BEc), Associate Degree in Accounting (A.A.)
Ellen Johnson Sirleaf ni Rais wa 24 wa...
Habar zenu wadau....
Nimekua nikisikia kuwa mtu ukisoma kozi ya bachelor of science in biotechnology and laboratory sciences(inayotolewa SUA) unaweza kuja kusomea medicine doctor mbeleni..
Je...
Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha thread kinavyojipambanua kwa nini hawapendi kujitambulisha kwa kutaja majina halisi ya branch zao?
Mwenye kujua sababu tafadhali tiririka kidogo
..Watu wanalalamika kuwa hawajapewa mikopo wakati kipindi kile walipuuzia Elimu Bure hadi chuo kikuu,wao na wazazi wao wakasema wanachagua chama cha Nyerere.
..waliimba nyimbo mbalimbali
CCM ni...
Habari za muda huu wana JF!
Msaada kati ya Bachelor in science general vs Bachelor of environmental planning and conservation katka suala zima la ajira.
Only skilled one are allowed.
Wanabodi tujadili hili, kwa kuwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu kushindwa kukusanya madeni, hivyo kupunguza ufanisi katika utoaji endelevu wa mikopo kwa wanafunzi basi bodi ibaki kutoa mikopo kwa...
Nina mdogo wangu amefaulu vizuri kiasi,
Ana division two ya 12 PCM.
aliomba Engineering UDSM ila ametemwa kwenye first and second round,
Kwenye third imebidi aombe Course nyingine...
[emoji95][emoji95]KILIO CHETU[emoji95][emoji95]
*Ujumbe huu uufikie umma.*
Mnamo tar 19/02/2016 Serikali kupitia Tume ya vyuo vikuu (TCU) ili vifungia vyuo vikuu vishiriki vya Mt Joseph tawi la...
Jamani kuna mdogo wangu amechaguliwa mati- mtwara ORDINARY DIPLOMA IN GENERAL AGRICULTURE,(upgrading) sponsored by goverment na joining instruction ilieleza hvyo sasa ameenda na nimelipa pesa...
Nakumbuka Ulipokuwa Tabora Kwenye Kampeni Zako Za Kuomba Rudhaa Ya Wananchi Ya Kukuchagua Wewe Kuwa Raisi ili Uje Uwatatulie Shida Zao! Ulieka Ahadi Ya Kuwa →→→"Yeyote Yule Atakaechelewesha Mikopo...
naomba kwa mwenye taarifa za yanakopatikana majina ya wanafunzi wa kidato cha tano anisaidia au link maana nimeambiwa yameshatoka ila sijafanikiwa kuyapata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.