Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
*Muda Huo Ni Mwaka 2018 Ajira Zimetoka Nimeshapangiwa Shule Nimeanza Ualimu Wangu Fresh Tu* *Natokea Home Kwangu Muda Natembea Kuelekea Shule Na Kibegi Changu Mgongoni Ndani Kuna Mastering Na...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiingia Olams ukaclick ile loan breakdown Unaweza jaribu hata wewe ukalithibitisha swali langu Ukishajaza vile vibox vyote bila ya kubonya mwishoni "Go" katika keyboard yako itaonyesha kuwa "YOU...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Wa jf naomba kujua, lini masomo yanaanza kwa mwaka wa kwanza 2016/17 chuo cha SAUT?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, imekuwa ikiwakopesha wanafunzi wenye sifa za kujiunga na vyuo vya elimu ya juu nchini kugharimia masomo yao. Katika utekelezaji wa...
3 Reactions
254 Replies
49K Views
Nimefanya transfer ya Chuo cha afya kupitia NACTE lakini kila nikijaribu kusearch result kupitia index no yangu inaandika not found had nitumie username yangu na password
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa anaejua process za kufuata ili kusititisha masomo ya chuo kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza naomba msaada kidogo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Ingia hapa https://drive.google.com/drive/u/0/mobile/folders/0B9Vd59-UZpsjaFJHdkFXMFBIeWs?usp=sharing Asante Mzumbe, TCU Nawasubiri HESLB
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Uongozi wa nchi wapeni nafas VIJANA wetu wasome acheni siasa kwenye elimu eti Mara GPA 3. 5 Mara 3. 9, mnakera Sana je walio na 2. 7-9 mnamikakati gani nao au ndo kutuandalia waharifu siku za...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Habari wakuu, Kutokana na vyuo vingi kutoa majina ya wanafunzi waliobahatika kuchaguliwa kwenye vyuo husika, wengi wamekuwa wakipenda kujua kama chuo alichoomba kimetoa majina ama La, pia kujua...
1 Reactions
339 Replies
74K Views
Oii wakuu matokeo kwa walio omba round hii yanatoka Lin??
0 Reactions
5 Replies
826 Views
Nimeona orodha inayodaiwa kuwa ya majina ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaonufaika na mkopo kwa mwaka wa masomo 2016/17. Orodha hiyo ina majina 3,966 tu. Ikiwa orodha hii ni ya kweli, na ikiwa...
20 Reactions
128 Replies
14K Views
Taifa linahitaji wataalamu wa aina zote, vijijini, mashuleni, mahospitalini na viwandani wanahitaji pia wahasibu, wagavi, watunza kumbukumbu na vifaa, kusanya ushuru, wanasheria, maafisa masoko...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Huyu Jacqueline ndio nani?
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Kumekuwa na ongezeko la wanafunzi katika ngazi mbalimbali za vyuo,lakini tatizo ni kuhusu mfumo wa vyoo vya kukaa hususani tunapotumia choo kimoja kwa watu takribani 10.Hapa kila mtu anaustaraabu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
NACTE mnapaswa kulaumiwa mmetuchagua vyuo ambavyo tayari walishaanza masomo toka 1.08.2016 mnategemea watatupokea?? Mfano mimi nimepangiwa Karume Institute of Science and Technology, diploma ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1)Means test an official investigation into someone's financial circumstances to determine wether They eligible For a welfare payment or other public funds 2)Priority A thing that is regarded as...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi, natumaini muwazima. Naomba mnisaidie hili Vigezo vinavyotumika kwa mtu mwenye diploma kusoma degree ni awe na GPA ya 3 na kuendelea lkn pia awe na D nne au zaidi ktk mtihani Wa kidato...
0 Reactions
4 Replies
794 Views
wakuu kwema? Hii course inayotolewa na Dar es salaam Maritime Institute nahitaji sana kuijua kwa kina, Ina nini cha maana sana katika sea operations? Nahitaji notes zake iwe kwa soft or hard...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom