Habari zenu kwa wale ambao tumechaguliwa kwa fani ambzo zipo chini ya COICT UDSM, shule imeshaanza na ratiba ya vipindi inapatikana shuleni kijitonyama usiifuatae ratiba ambayo inauzwa stationery...
Nipo idara ya elimu sekondari Musoma(M) natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo kutoka eneo lolote la morogoro,Dodoma,iringa au mkoa wa pwani!tuwasiliane 0625792678
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufund, Stella Manyanya.
SERIKALI imetoa Sh bilioni 80 kwa ajili ya malipo ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wanaoanza na wanaoendelea na masomo...
Salaam kwenu ndugu!
Wanafunzi wengi mwaka huu wamepitia katika misukosuko, shida na taabu nyingi hii kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yakifanywa kila kukicha kwenye Elimu, TCU kubadili kwa...
Wandugu habari,
Kwa walioko huko dar, Eti jamani majina ya NIT tayari? nmesikia kwmba majina yapo ubaoni chuoni.
Namaanisha majina ya waombaji wa bachelor degree, naomba yeyote aliyepo chuoni...
Wanajamvi napenda kuliezea hili kwa masikitiko makubwa kuhusiana na BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU (HESLB) jinsi gani inavyopingana na sera ya Rais wetu kipenzi ya Hapa kazi tuuuu. Haya ni maneno...
Please mods msiunganishe uzi huu.
Baada ya tukio la walimu kumshambulia mwanafunzi waziri wa elimu alifikishiwa taarifa mapema mno, tuliona reaction kwa kila aliyekuwa na mamlaka juu ya walimu...
STUDENTS SELECTED BY TCU TO JOIN ATC DEGREE PROGRAMMES
STUDENTS SELECTED BY TCU TO JOIN NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT(NIT) ALL BATCHES
STUDENTS SELECTED BY TCU TO JOIN ST. JOHNS DEGREE...
Kwenye profile yangu mwanzoni walikuwa wameandika: The candidate did not secure a loan in the first batch.
Sasa hivi wameandika "You have completed 0 of five stsges", Batch No: 0
Loan break down...
Jaman kwa waliobahatika kuchaguliwa saint john university course ya phamarcy au yeyote yule mwenye ujuz na hii course tujumuike pamoja katika hii thread ili kujua changamoto zake na hata...
Samahani Sana wanajamii ,nilikua Nina uhitaji wa Mitihani iliyopita (PastPapers) ,za shule yoyote au Necta ya somo la Kompyuta Kwa shule za sekondari (Olevel) Form 1 - 4
Mwenye Nazo naomba msaada...
Wanajamii habarini za kazi?
Wakuu naombeni mnisaidie kuhusu mada tajwa hapo juu. Kwasasa nipo Singida na hamna madarasa ya kusoma CPA. Mpango wangu ni kufanya registration mwaka ujao January na...
Habari wakuu,
Kama tujuavyo, safari ya kuelekea vyuoni kwa wanafunzi imeiva na wengine wameshaingia, wengine wanajiandaa lakini pia wapo ambao hadi sasa hivi bado ramani haijakaa vizuri.
Wengi...
Ngoma ipo kabisa nawakumbushia wadogo zetu wanaoripoti vyuo mbalimbali kwa level mbalimbali za elimu.
Msibweteke tumieni muda mwingi kujifunza vinginevyo UKIMWI hautawaacha.
Wale masharo na ma...
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi inatarajia kuvifanyia uhakiki wa ubora ubora vyuo vyote, vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuanzia kesho.
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.