Baada ya loan breakdown kutoka nimeona wanafunzi wote wanaosoma Bsc I. aquaculture hawajapangiwa pesa za field and practical training.
Ina maana hii kozi huwa hawaendi field au?
Hivi kweli...
Bodi ya Mikopo inabidi iendane na utandawazi na uwazi pia. Inabidi wadaiwa wayafaham madeni yao kwa urahisi.
Ushauri wangu ni kwamba kama ilivyo kwa TRA, waandae mfumo wa message ambao utakuwa...
Kwel tulikutegemea sana katika hili suala la utoaji wa mikopo baada ya Rais kukuteua tulifurahi kwamba sasa neema imeonekana lakini cha kushangaza mama yetu leo hii bodi na naibu wazir anatangaza...
Wanajamii forum naandika Uzi huku nikiwa na mawazo mengi kuhusu nini hasa hatima yetu sisi tuliomaliza kidato cha sita mwaka huu na tukiwa hatuna uhakika wa kuendelea na masomo kutoka na hali...
wakuu za jion kwa jina naitwa noel . nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kinacho itwa Cavendish univasity Uganda . na pia mm ni mwajiliwa selikalin so niliomba luhusa ya kusoma nikakataliwa .sasa...
Habari wana JF,
Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na...
Jamani katika vyuo vya hapa Tz ni kipi kinatoa kozi za urubani,nina mdogo wangu amefanya vizuri A'level na hataki kozi yoyote zaidi ya hyo.
Please ur advise.
Nianze kwa kukupongeza mdogo wangu uliyepata chuo bora kuliko vyote Tanzania.
Naamini ni juhudi zako pamoja na Neema za Mungu upo hapo.
mlimani chuo kizuri sana LAKINI umakini mkubwa sana...
Wanajamvi Kuna ndugu yangu kachaguliwa Bachelor degree in accountancy ya pale CBE, sasa dogo ana wasi wasi labda chuo sio kizuri kwa upande wa bachelor's, vipi wanajamvi hiki chuo kiko vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.