Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nan aliyesoma SAUT Mwanza? Ni chuo ambacho kinatoa competent graduates. Zao la pale kwa kweli huwa limeiva. Kwa vijana wanaotegemea kujiunga first year pale wawe na amani kabisaaa. Cha muhimu zaid...
4 Reactions
81 Replies
11K Views
Jaman wapendwa na wadau nilikuwa naomba msaada wenu kuhs kozi hii ya C.s.e
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya ni majina ya waliopata mkopo kwa chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS) Kuona majina bofya HAPA
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natafuta mwalimu aliyeko Kinondoni kwenda Arusha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau hebu nisaidieni kuna watu wakiangalia profile zao za bodi ya mikopo wanaandikia NOT ALLOCATED FOR FIRST BATCH wengine wanawekewa LOAN BREAKDOWN pasipo kujaziwa amount sasa tofauti iko wapi ???
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini za muda huu wakuu Kwanza napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa chuo kikuu cha Dar-es-salaam kwa juhudi zao juu ya hili suala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu Pili...
15 Reactions
27 Replies
4K Views
Naangalia taarifa ya habari hapa TBC, serikali ya wanafunzi UDSM wamepeleka malalamiko yao kuhusu kutoridhika na mgawanyo wa mikopo kwa wanafunzi waliopata mkopo,wametoa maelezo yao safi kabisa...
11 Reactions
110 Replies
14K Views
Haya ndiyo aliyosema Mh rais
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanafunzi wote mnaotaka kuhama vyuo muwe makini hakuna chuo kitakachokupokea wakati bado vinahitaji kudahili wanafunzi 4500 kwa awamu ya nne,kuweni wapole na msome pale mlopochaguliwa huu mwaka...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wale ambao walichelewa kufanya maombi ya chuo...Round ya Nne Imeongezwa kwa siku 3
1 Reactions
7 Replies
2K Views
One of the safety measure of the physics laboratory is In a storage building,physics laboratory should be in the lowest floor.why? Anayejua sababu hiyo point
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Uliahidi tatizo la mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu utalitatua,, je zile zilikuwa propaganda tu au tukuelewe vipi?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu samahan naomba kuuliza kuna mwanafunzi mwenye diploma aliyechaguliwa kujiunga degree amepata mkopo? kama upo naomba kufahamu umemaliza diploma mwaka gan? maana mim nimemaliza diploma 2013 na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam Naitaji Msaada Kwa Yeyote Mwenye Kukijua Chuo Hiki. Kuna Jamaa Amenishauri Nikapige Pale Na Mimi Na Mpango Wa Kusoma Md Nina Ufaulu Wa Div Three Ya Point Kumi Na Tatu Pcb. Kwa Anaye Jua...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Ni wakati wa wazazi wetu kufundishwa adabu na kusomeshwa no Tukiwaambia kwa maneno ubaya wa CCM huwa hawaelew hivyo sasa utawala huu umeamua kuwaonesha kwa vitendo Wamepata 21 kati ya 88 maana...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu..( chuo kikuu ) tunapenda kuwaletea offer kabambe ya Laptop computers zenye uwezo wa hali ya juu kama ikivyojieleza kwenye tangazo hapo...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndugu kuna uwezekano wa mwanafunzi 4m 4 failure.. Mwenye Div 4 ya 26... Yaan C moja ya math... Mwenye first class diploma... Na first class degree... Courze Accouting... Chuo Mzumbe... Kupata...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Maoni Yangu Ya Wazi Ndugu Watanzania, binafsi katika mambo ya msingi ambayo ningependa kuona nchi ikiyapa kipaumbele ni Elimu. Mimi ni mwanafunzi bado na mnufahaika wa Bodi ya Mikopo. Lakini...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO KWA 2015/2016 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa...
0 Reactions
718 Replies
114K Views
Back
Top Bottom