Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nakuombeni kwa watakao na nasaha tuwape ndugu zetu, kwani chuo si advance school. wengi huteleza na kupata disco na kurudi kijiji akiwa amechanganyikiwa..
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu mimi nimehitimu shahada ya kwanza ya Electrical naomba msaada kwa anaefahamu Makampuni ya Electrical ambayo naweza kuomba kazi, Hii itaniongezea wigo kwa kujua Makampuni mengi zaidi. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
830 Views
Habari za saa hizi wanaforum, Kwa mliofanya application kupitia TCU/NACTE CAS haswa wanaotumia vigezo vya Diploma nimegundua kitu hiki kuwa ukijaribu kuingia kwenye akaunti kupitia NACTE...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Bodi ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Zanzibar Yasitisha Kutoa Mikopo Kwa Wanafunzi Vyuo Vikuu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ameiagiza Bodi ya Mikopo ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahana wana JF kwa ambae alikosa mkopo mwaka jana katika batch la kwanza na hakuwa na pesa ya Registration mbinu gani alitumia mpaka akaendelea na chuo kama kawaida baada ya jina lake kutoka...
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Jamani nasikia tcu wametoa siku 3 za kuaply tena? msaada kwa anaejua au kusikia
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Eti kuna tofauti gani kati ya principle na fact?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
http://www.kcmuco.ac.tz/images/Annoucement/TUKCMC-FRESHERS-BATCH-2-1-2016-2017.pdf
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za muda huu wanajamvi Poleni na hongereni kwa pilika za kuutafuta mkate wa kila siku Kutokana na ubovu wa systems za vyuo baadhi vya afya kuwa na utaratibu wa kupandisha ada wapendavyo...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Jf naomba mwenye kujua jinsi ya kutengeneza Automatic formula ya PAYE kwenye payroll kwa kutumia Excel. MF. Mtu mwenye salary 20000-50000 akatwe 4% of gross salary 60000-90000 akatwe 6% of gross...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari, Nataka kuanza kujifunza vifaa vya mziki kama guitar na kinanda, wakati wa jioni kuanzia saa moja usiku kuendelea. Naomba ushauri wa wapi naweza pata mwalimu au shule ya namna hii hapa dar...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu , kuna uvumi mitaani kuwa kuna baadhi ya wanachuo wa vyuo vikuu watapunguziwa mkopo, ni kweli au ikoje kwa aliye na ukweli!
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Wakuu hali inazidi kuwa tete kwa mwenye taarifa kuhusu second batch tujuzane
2 Reactions
31 Replies
4K Views
1.Food science & technology 2.environment science & management 3.environment engineering 4.applied zoology Naomba maelezo kuhusu hizo course hapo juu.Manufaa yake yakoje hapo mbele yaani...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Afadhali tarehe ya kuripot NIT 28 november 2016 manake kama kuandamana kuhusu mkopo watakuwa wameandamana sanaa na kitakuwa kimeeleweka. Kuona ratiba nzima, Bonyeza HAPA
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani mara hii tu wamefunga system yao...ili wayaupload hayo majina...ila wamekera sanaaaaa
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa wameambiwa warudishe pesa walizokopa ili wakopeshwe wengine nauliza je mafisadi walioifilisi nchi hii kufika hapa ilipo kwa kuiba pesa na mali zetu watanzania kwanini hawaambiwi kurudisha?
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Back
Top Bottom