Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jaman naomba kuuuliza.maswali tatatu. Je umri ni kigezo kinachoweza kumfanya MTU acpate mkopo was chuo? Swali la pili je.kama nliwahi kuomba TCU Mara mbili na kuchaguliwa lakini sikuenda chuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKIMALIZA MASOMO mje muisaidie jamii kwa kile mlichokipata chuoni, sio mkikosa ajira mnasema tukalime au kufuga kuku, kila mtu kwa taaluma yake aitumie kujiajiri hapo maendele tutayafikia haraka.
2 Reactions
0 Replies
497 Views
Habari zenu Nilikuwa najaribu kuingia tcu kuchek kama Niko selected imeniletea hivyo na nimeingiza form 4 index na e-mail pia majibu ni hayo hayo..Nisaidieni ina maana gani hii??
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kumbukumbu ya miaka 55 toka kuasisiwa kwa chuo kikuu Dar es salaam yanaendelea hapa chuoni,chancellor hon.Dr.J.K Kikwete yupo kama mwenyeji! Prof.Tade Aina toka Nigeria,jaji mstaafu Warioba na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi ndg zangu. Upo msemo usemao adui wa walimu ni mwalimu mwenyewe. Katika nchi hii walimu wanashiriki ktk kujenga tabia ya kudharauliwa na wakuu/waajiri wao. Hivi ni njaa au kitu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Tujifunze baadhi ya vifupisho kama vipo vingine share ili kila mtu apate kujua kwani imekua shida sana kwani si kila mtu anajua baadhi ya vifupisho share ili tujue sote MMI NIMEANZA NA HIVI HAPA...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Habari wakuu. Moja ya kazi za mwalimu ni kusahihisha(marking) na kupanga matokeo. Okoa muda wa kufanya zoezi hili kwa kutumia Ms excell iliyoratibiwa ambapo wewe utarekodi Jina na marks tu za...
1 Reactions
0 Replies
694 Views
jamani naombeni ushauri nifanyaje mana tcu wamesema kuaply tena mpk mwakani
2 Reactions
104 Replies
8K Views
Huyu mtu kamaliza mtihani wake wa diploma in dental thrapy NTA level 6. sasa unampa GPA ya ngapi maana kaaply na smekosa vyuo vyote.Hawa NACTE wanapangaje? 73- 60- 60- 57- 58- 60- Sasa huyu...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wakuu!! Kama Bado Hujajua Kuhusu Loan allocation yako install firefox app zen itumie kuangalia vitu mbalimbali iko vizuri sanaaaa!!!!
0 Reactions
3 Replies
693 Views
Wakuu naombeni msaada namna ya kuomba transfer. Ni procedures zipi inatakiwa nifuate? Kuhusu kigezo cha kujua kama chuo bado kina nafasi, je inatakiwa niende direct chuoni kuulizia kama kuna...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
wakuu nisaidien nimepangwa BIT ya NIT sas nashindwa kuelewa ni science au sanaa
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hawa jamaa inabidi warudishe pesa zetu kama vigezo vya kujiunga na Bachelor tulikosa haliakuwa tulifanya application mwezi wa Tano wakati GPA ilikuwa 2.7 na guide book ilikuwa inaonyesha hvyo na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Majina ya waliochaguliwa jordan university kwa awamu ya kwanza na pili yameshatoka na kama wewe ni kati yao basi pita hapa tujuane na kwa whatsup group WASILIANA NA NO 0745709844 group lipo tayali
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Hii kitu inanchanganya pia inanichekesha sana, eti mtu amesomeshwa kuanzia chekechea mpaka six kwa pesa za mzazi wake ila mtu hilohuyo huyo amekifika chuo analazimisha apewe mkopo ,sasa suala la...
3 Reactions
145 Replies
10K Views
Majina ya wanafunz waliofanikiwa kuchaguliwa university of Iringa yametolewa. Kuona majina, bonyeza hapa Nawasilisha Vile vile wanafunz mnaweza kujadili mambo mbali mbali kuhusu chuo hapa hapa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Samahani kwa girl yeyote aliyepangiwa rum main campus na anataka kuchange rum kwenda mabbo plz ni dm........ ahsante
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka nifanye maombi ya kuhamia katika vyuo tajwa lakini nataka kujua kuna kozi gani ambazo zina nafasi ili niangalie kama ni kati ya zile ninazozihitaji. Ahsante
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Uongozi wa wanafunzi vyuoni 'kupoteza kiaina' fedha iliyokusanywa na wanafunzi ili kukidhi mahitaji yao kwa kipindi waliokuwa vyuoni bila wanafunzi wenyewe kujua imetumikaje,NA statements...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom