Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Msaada kuhusu hiki chuo naombeni kujua kama hiki chuo cha kilimo taifa in cha serikali au lah! Na je kimesajiliwa??? Plz kama unachochote hebu nisaidie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
www.sua.ac.tz/phocadownload/loan1styr2016_2017.pdf
1 Reactions
70 Replies
10K Views
Wakubwa ningependa kuifaham kiundani hyo kozi hasa kuhusu ajira zake..
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Pakua faili la pdf apo chini Waliyochaguliwa Main campus na Mbeya campus
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa heshima kubwa kabisa . naomben ushauri wenu nina mdogo wangu kachaguliwa kusoma Architecture sasa bahat mbaya ye alisoma HGE(KAPATA DIVISION 1 POINT 7) japo O level alisoma science na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/1otnkEMS4opL2AAvHEacCN
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nini hatima ya maisha ya hawa vijana waliokuwa wakisoma kozi hizi: · Higher Diploma in Secondary Education (3yrs) · Ordinary Diploma in Primary Education (3yrs) ·...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau polen na majukumu binafsi nimechaguliwa kusoma sheria katika chuo hicho naomba kujuzwa kuhusu taaluma yao,karo na mazingira ya iringa kiujumla
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar zenu wadau Poleni na Majukumu ya hapa na pale katika Maisha. Nimepata Sponsor ameniambia nichaguwe kozi moja ya kusoma kati ya hizo mbili. Je ukisoma ipi hapo itakuwa na future nzuri hapo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kuresit acsee 2017 [emoji120]
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo; 1. Tathimini ya matumizi ya saikolojia katika Elimu 2. Mapungufu ya matumizi ya saikolojia katika ujifunzaji na ufundishaji mashuleni.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho: Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho - millardayo.com
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Tembelea website ya tcu kipengele cha provisional result weka index no yako zen taarifa zako zitakuja
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetakiwa kuhakikisha programu za masomo zinazoanzishwa na vyuo vikuu nchini zinazingatia mahitaji ya taifa na soko la ajira. Rai hiyo imetolewa leo Jijini Dar es...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Nisaidieni jinsi ya kupata kitabu cha siri ya maisha kitabu emmanuel mbogo download sorry kwa usumbufu
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ivi kuna round nyingine kwa wale ambao hatujapata mkopo round ya kwanza nauliza tu ndugu zangu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anayefaham vituo ambavyo mtu anaweza kurudia mitihani ya form four kwa temeke na ilala anisaidie please!!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka kubadili course ila chuoni wananiambia nisubiri kama NACTE watatoa transfer kwa anayejua kua wanaweza kutoa kwa lini anisaidie[emoji59] [emoji59]
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wale walioomba transfer vyuo vingine mfuatilie wengine wameshajibiwa kama upo mikoani ni vizur kuwapigia cm chuo unachotaka kuhamia ili wakupe jibu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hivi karibuni nimekuwa na shauku ya kusoma kozi ya Education in mathematics. Katika kutafuta chuo, nimekuta hii kozi imeongezewa Informatics ndani yake. Mimi nina Diploma in Electronics and...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom